CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

Wafanye wote wakubaliane na ukitakacho. Bila nguvu kinzani.

Without friction, no work done unless otherwise perpetual machine.

Kiuhalisia tunahitaji mawazo mbadala mitazamo tofauti na hapo ndipo tutakuwa na maendeleo ya kweli.

Bila changamoto, bila mawazo mbadala, ni giza tupu.
 
Ndiyo. Kapandishwa tena cheo baada ya kushushwa kutoka kamishna TRA na kapelekwa kuwa katibu tawala. Leo kapanda tena cheo na kuwa CAG.
Kama ni hivyo basi ni mbinu za kum-shake kisaikolojia ili awe na adabu na mteuzi. Una panda cheo hadi Kamishna wa TRA una-enjoy ukuu, ghafla unapigwa mtama hadi kuwa RAS bila kutegemea na unanyong'onyea kisha unapewa madaraka yasiyohojiwa na inakubidi ujikunyate kwa mteuzi kuwa ni mwokozi wako.
 
Rais John Magufuli leo Novemba 3 amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akichukua nafasi ya Prof Musa Assad #MwananchiUpdates
Majina ya Charles yashaanza kurudi serikalini haha. Toka katibu tarafa to CAG
 
CAG wa Sasa awe na Kitengo Cha ujasusi wa maswala ya fedha, aweze kudetect mikono ya wasioonekana wakati wa kusema hela hazionkeani!
Huyu kawekwa kuficha uchafu. Hana ubavu wa kupingana na Ikulu. Ni kibaraka mwoga na usitegemee kitu.

Fedha zitachotwa kupelekwa Chato na hatosema kitu. Nasikia kuna mchoro wa Chato itakuwa kama Shanghai.
 
Ila nafasi ya uCAG safi sana. Walau Kichere sasa ana uhakika wa kukaa kama CAG kwa miaka 5 hata kama ile mihimili mingine itakwazika for sometimes.

Assad ustaafu mwema kwako. Pole kwa kutokuongezewa miaka 5 mingine.
 
Kama ni hivyo basi ni mbinu za kum shake kisaikolojia ili awe na adabu na mteuzi. Una panda cheo hadi Kamishna wa TRA una enjoy ukuu ghafla unapigwa mtama hadi kuwa RAS bila kutegemea na unanyong'onyea kisha unapewa madaraka yasiyo hojiwa na inakubidi ujikunyate kwa mteuzi kuwa ni mwokozi wako.

Halafu baadaye badala ya kufanya kazi unaishia kuimba mapambio ya kusifu na kushukuru kwa kutolewa mavumbini kama yule propesa mjinga wa Singida.
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom