Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,774
Tumekwisha kabisa sasa. Nasikia Kichere ndie CAG mpya.
God have mercy on our country.
God have mercy on our country.
Unamwambia afanye hivyo kwani hajipendiCAG wa Sasa awe na Kitengo Cha ujasusi wa maswala ya fedha, aweze kudetect mikono ya wasioonekana wakati wa kusema hela hazionkeani!
Kama ni hivyo basi ni mbinu za kum shake kisaikolojia ili awe na adabu na mteuzi. Una panda cheo hadi Kamishna wa TRA una enjoy ukuu ghafla unapigwa mtama hadi kuwa RAS bila kutegemea na unanyong'onyea kisha unapewa madaraka yasiyo hojiwa na inakubidi ujikunyate kwa mteuzi kuwa ni mwokozi wako.
Hatimaye uchafu wote kufichwa
Tuna safari ndefu sana awamu hii
Watakupinga sana kwa kauli yako hii. Lakini Mungu muweza wa yote akituweka hai hadi anaondoka madarakani kisheria au kimabavu ndio watakuamini watakapo jua kuwa hakuwa na tofauti na Sani Abacha wa Nigeria.Kweli nimeamini sasa magufuli ni mwizi
Hahahahahahahahahahahahaha.......Rais John Magufuli leo Novemba 3 amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akichukua nafasi ya Prof Musa Assad #MwananchiUpdates
Hivi aliyetemwa ubalozi siyo Kidata?Alikurupuka kumtema ubalozi. Tena unceremoniously....
Kwa nini..alikua mtu wao?CHADEMA wataangua Vilio kumlilia Prof. Assad
CAG office imeharibika rasmi