Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
- Thread starter
-
- #81
Watatujuajee???
huyu mtu sasa atubu hii n hatar sn
atubu kwa lipi? Mbona hueleweki...una maana nancy au nziriye au una comment tu bila ya kujua, usiwatafutie watu ban bure:tape2:
Section 15 inakataza kutumia fake ids ili kumtukana au kudanganya mtu!!
So utumie jina lako dina asangalwyise ili udakwe vizuri
Waache upuuuz hao vilaza kwan jela ni jeraha??
Bungeni unapitishwa mswada wa cyber crime!!
Ukisambaza picha za utupu,jela Na fine!! So Nancy inabidi afunge tu hiyo blog
No bongo certification tena!!
Ni kweli nimedate nao waangalia porn wote hapa tanganyika ila nilipokuwanagongwa nawewe ulikua ukigongwa nao! Kwani mtu anapotoa ufahamu wake juu ya jambo alilojifunza maana yake limemtokea! Ili kujua kama mwanamke anajifungua kwa uchungu inakuhitaji uwe umezaa?
Ili kujua sigara inaharibu mapafu lazima mapafu yako yawe yameharibika??
Kazaneni kuangalia izo porn nyie wavulana alafu mnakimbilia kunywa viagra!
Boga kabisa.....mxiiu zako huwa tunagongwa wote! Umejuaje kuwa wananigonga kama huwa hawakuanzi wewe! ?
Magereza yenyewe yako wapi yakufunga kila mtu :what::what:
Ukianza na post yangu ya awali utanielewa.Mie nilisema waangaliaji porn waliopitiliza*wanaoangalia sana sio wanaoangalia tu;kwa kimombo u can term them as addicts! Ni ukwel usiopingika utazamaji wa picha za utupu uliokithiri una madhara kisaikolojia na kimaumbile kwa jinsia zote na wanaume ni wahanga wakubwa.Mdau hapo naomba nikusahihishe kidogo usiseme wavulana siku izi wasichana kwa wavulana wote waangaliaji wazuri ....
Kuna dada jirani yangu ukimkuta anaangalia sim kaeka headphone tayari ni porno .... Kila siku kwa io ukitoa mada usiwe gender inbalance kisa we ni msichana stand between na uongee reality
Ukianza na post yangu ya awali utanielewa.Mie nilisema waangaliaji porn waliopitiliza kwa kimombo u can term them as addicts! Ni ukwel usiopingika utazamaji wa picha za utupu uliokithiri una madhara kisaikolojia na kimaumbile kwa jinsia zote na wanaume ni wahanga wakubwa.
Usijali nimekuelewa ila haswa nlotaka limwingie lishamwingia.
Ni kweli nimedate nao waangalia porn wote hapa tanganyika ila nilipokuwanagongwa nawewe ulikua ukigongwa nao! Kwani mtu anapotoa ufahamu wake juu ya jambo alilojifunza maana yake limemtokea! Ili kujua kama mwanamke anajifungua kwa uchungu inakuhitaji uwe umezaa?
Ili kujua sigara inaharibu mapafu lazima mapafu yako yawe yameharibika??
Kazaneni kuangalia izo porn nyie wavulana alafu mnakimbilia kunywa viagra!
Boga kabisa.....mxiiu zako huwa tunagongwa wote! Umejuaje kuwa wananigonga kama huwa hawakuanzi wewe! ?
Wanazungumzia cybercrime bill. Porn tangu enzi za magazines ni haramu Tanzania. Hii sheria imeelezea uharamu huo kwene teknohama.Naona maluelue tu hapa, hebu mwenye vifungu vya huu muswada avi-paste hapa tuone uzuri na ubaya wake
Wanazungumzia cybercrime bill. Porn tangu enzi za magazines ni haramu Tanzania. Hii sheria imeelezea uharamu huo kwene teknohama.
Kama ilivyokuwa zamani, si rahisi kusimamia sheria hii, labda kwenye mambo ya visasi. Halafu sijaona wakizungumzia picha za maiti waliharibika kwa majeraha. Tanzania tuna tabia ya kuchapisha picha hizo hata za watoto n.k... very disturbing.
Atatokea kipele mmoja ,atasema polisi nimeona picha yangu raha tupu!!
Polisi wakichek raha tupu wanakamata Nancy!!