Bwawa la nyerere limeishia wapi ?

Bwawa la nyerere limeishia wapi ?

Hakuna mgao. Usichanganye umeme kukatika na mgao. Wewe uko wapi huko kuna mgao wa umeme?
Unatofautisha vip kukatika Kwa umeme na mgao?
Humsikii Tanesco wanasema saiv kiangazi Kuna mgao
 
Yuko sahihi anauliza limeishia wapi.
Unafuu wa umeme tulioahidiwa kabla ya huu mradi kama wananchi tumepata?

Kuwa sensible kidogo mkuu
Sahihi kabisa. Hakuna manufaa yoyote zaidi ya gharama za umeme kupanda juu. Sema Hii jamiiforum imejaa vilaza wengi
 
Lengo la kuanzishwa kwa JNHPP ni bei ya umeme ipungue na extra tuuze nchi za jirani.

Je lengo limetimia?
 
Sahihi kabisa. Hakuna manufaa yoyote zaidi ya gharama za umeme kupanda juu. Sema Hii jamiiforum imejaa vilaza wengi
Huyo jamaa wa hovyo sana anataka tusifie mradi ambao tuliambiwa mambo ya kukatika umeme na mgao tusahau.
Mradi ambao ilikadiriwa kuwa utatumia 6.5T ila mpka leo umekula 7.5T🙌🙌.

Hawa mbogamboga tutawalekeza vizuri tu wataelewa
 
Una maana gani kusema bwawa limeishia wapi? Unaishi nchi gani? Hata kama hamuipendi serikali jaribuni kuwa sensible kidogo.
 
Tuliambiwa likikamilika Umeme utakuwa wa kumwaga, bei chee, tutauza hadi Kenya na Rwanda na Uganda. Nadhani unatakiwa Mujibu haya maswala
 
Pengine wewe ndiye huna hoja. Mara hii mmeshasahu ''sifa'' za hilo bwawa zilivyokuwa zinaimbwa? Au mpaka tukuwekee thread na hotuba za kipindi hicho? Wanaouliza wana hoja acha kujitoa ufahamu.
 
Kiukweli tumekua na kundi kubwa sana la wajuaji waliojawa na upumbavu mwingi.
 
Unatofautisha vip kukatika Kwa umeme na mgao?
Humsikii Tanesco wanasema saiv kiangazi Kuna mgao
 
Pengine wewe ndiye huna hoja. Mara hii mmeshasahu ''sifa'' za hilo bwawa zilivyokuwa zinaimbwa? Au mpaka tukuwekee thread na hotuba za kipindi hicho? Wanaouliza wana hoja acha kujitoa ufahamu.
Sawa.
 
Back
Top Bottom