MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 1,974
- 2,670
inabidi kuigeukia EWURA ituambie kwani bei ya umeme ipo juu ije na majibu toshelezi..TANESCO kisha chomoka.Sawa Kwa maelezo
Sikuwa najua kama EWURA ndo ndo wanaratibu bei ya umeme.
Basi nahitimisha Kwa kusema EWURA Kuna shida kubwa