Bwawa la nyerere limeishia wapi ?

Bwawa la nyerere limeishia wapi ?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,744
Reaction score
37,283
Kwa mtindo wa kila kiongozi kuanzisha chake na kukiuwa cha mwenzake ili yeye kuwa bora ni hatari kwa taifa.

Zile elephant project kama sio magofu sasa naona zinelekea kuwa vyuma chakafu.
 
Kwa mtindo wa kila kiongozi kuanzisha chake na kukiuwa cha mwenzake ili yeye kuwa bora ni hatari kwa taifa.

Zile elephant project kama sio magofu sasa naona zinelekea kuwa vyuma chakafu.
Una maana gani kusema bwawa limeishia wapi? Unaishi nchi gani? Hata kama hamuipendi serikali jaribuni kuwa sensible kidogo.
 
Usiseme tu bwawa la mwl nyerere ongezea na uuzwaji wa bandari zetu tulidanganywa sana na huyu sa100 na chawa wenzake kuwa Tanzania itanga'ara sana kimataifa lakini tumejionea inazidi kushuka tu kimataifa hadi inakimbiwa na wawekezaji wazuri kama uwekezaji wa kiwanda cha kuchakata mafuta cha dangote ambacho amekipeleka kenya baada ya kuona hii awamu ya sita siyo rafiki kwa wawekezaji.
 
Ndio alivyokwambia? Nani alikuahidi unafuu wa umeme?
Alivyoniambia nani? Huu mradi uliazishwa kufanya nini kama sio kuleta unafuu wa umeme ?
Unataka tupongeze kwani umeme haukatiki hovyo?

Mtoa maada ana haki ya kuita white elephant project.
Acha ujuaji
 
Alivyoniambia nani? Huu mradi uliazishwa kufanya nini kama sio kuleta unafuu wa umeme ?
Unataka tupongeze kwani umeme haukatiki hovyo?

Mtoa maada ana haki ya kuita white elephant project.
Acha ujuaji
Huna hoja.
 
Back
Top Bottom