Busara zangu tu: Samwel Sitta pumzika!

Busara zangu tu: Samwel Sitta pumzika!

..mimi niliupenda utendaji na misimamo ya Samuel Sitta alipokuwa waziri wa afrika mashariki. napendekeza Raisi Magufuli amrudishe Mzee Sitta ktk wizara hiyo. katika awamu hii tusikubali kabisa kuchezewa-chezewa ktk jumuiya ya Afrika Mashariki.

cc msemakweli, Geza Ulole
Hapana huyu mzee inabidi apumzike sasa! Mkewe atamwakilisha Bungeni tumechoka na wazushi!
 
Mzee Sitta,

Ulizaliwa 18 December 1942, leo una miaka 73!!
Ulisoma hadi chuo Kikuu DSM na kumaliza miaka ya kati kati ya 60's
Uliwahi kuwa waziri miaka ya awamu ya kwanza
Uliingia bungeni toka mwaka 1975(wengi wetu wala hatujaaliwa!)
Umehudumu uwaziri karibu awamu zote
Umekuwa Spika 2005 hadi 2010, mpaka ukaondolewa kwa mizengwe, eti lazima uwe mwnamke(dalili za kwanza kuchokwa!)
Umekuwa mkuu wa mashirika mbali mbali, kama TIC
Umependekezwa kugombea urais kupitia chama chako mwaka 2015

Sasa ni wakati muafaka kupumzika maana spidi ya vijna hutaiweza, na najua hutaweza kupiga push up!!

Mzee lea wajukuuu na ishia kutoa wasia na ushauri kwa vijana
Pumzika mzee!!!
 
Apumzike kwa kweli, zama zake zishapita. Alivulunda sana bunge la katiba.
 
Huyu mzee amekuwepo serikalini tangu Nyerere. Apumzike sasa abaki na heshima yake kwa jamii

Walikuwa na Nyerere lakini hawataki kufuata nyayo za kung'atuka.. yule mwingine Yupo... yupo... yupo... yupo... na akataka kuwepo hadi Ester alipomnyoosha.... bado huyu
 
Huyu mzee amekuwepo serikalini tangu Nyerere. Apumzike sasa abaki na heshima yake kwa jamii


Anapenda kuwa anashinda mahakamani kwa ajili ya publicity
 
Mimi busara zangu tu za kipumbavu pumbavu tu!

Mzee sita akipiga hesabu vyeo vyote alivyowahi kushika anatakiwa kupumzika. Muda umeenda population imeongezeka wasomi wapo wa kutosha hakuna mwenye uwezo wa kuwa Na vyeo alivyowahi kushika katika kipindi hiki. Akiendelea kung'ang'ania sana atakuwa kama Kingunge. Hana mchango mpya tena. Alipewa nafasi ya kuleta mchango wake tayari kuna watu wanamichango hawajawahi kupata nafasi.

huyu mzee (anayezeeka vibaya) tangu alipochakachua maoni ya wananchi kwenye bunge la katiba heshima yake ilishuka sana. akae tu apumzike amuache mama ahemee chakula cha familia. asilete dharau kwa watanzania.

hata bibi kidude (makinda) naye aende akapumzike kwani ameishadhihirisha kushindwa kuliongoza bunge tangu siku ya kwanza.
 
Huyu mzee amekuwepo serikalini tangu Nyerere. Apumzike sasa abaki na heshima yake kwa jamii

akiendelea kuwa king'ang'anizi yatamfika yaliyomkuta nyara ya serikali kule bunda.
 
Ni bora S.S Apumzike sasa. Vijana waandaliwe sasa.
 
Tafadhal ndugu Jakaya kuna Mwanamtandao mmoja anaitwa Sitta ulisahau kum frustrate kama Rostam,Lowassa, Nchimbi,Kingunge,Mgana,Mgeja,Masha,Sophia Simba,Karamagi njoo utumie mbinu zako za kimedali asimsumbue, Kama ulimuweza Heavy weight Lowassa itakuwa huyu, 2010 ulimnyofoa kwa kigezo cha jinsia muibukie na kigezo cha Rangi, Rais Mweusi halafu Spika atakuaje tena Mweusi walau afikiriwe Jenista

Teh teh teh watu mnamisemo kha.
 
Kapuya, wasira, mrema, mtemvu. Ana kilango, wote wabishi yaliyowapata heri ya warioba
 
Sasa mwache sitta naye aazilike kuna vijana wengi tu wanaweza mzee pumzika
 
..mimi niliupenda utendaji na misimamo ya Samuel Sitta alipokuwa waziri wa afrika mashariki. napendekeza Raisi Magufuli amrudishe Mzee Sitta ktk wizara hiyo. katika awamu hii tusikubali kabisa kuchezewa-chezewa ktk jumuiya ya Afrika Mashariki.

cc msemakweli, Geza Ulole
Kama vile umesoma akili yangu!
 
Hawa wazee aina ya Sitta wakipata nafasi watamnyima Magufuli fursa ya kufanya mabadiliko anayoyataka. Siamini kama ana kitu kipya chochote zaidi ya kutaka nafasi ya kumdhibiti Magufuli baada ya wao kushindwa kuleta mabadiliko chanya.

Vv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom