msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
True. Lakini sijawahi kuona mtu aliyewakingia kifua wakenya kama mzee six.Kila mtu anataka apumzike
Yaani Tanzania ilikuwa haiburuzwi. Akisema NO ni NO. Nakumbuka alivyowaambia wakenya wasahau kabisa mpango wa visa ya pamoja ya utalii kwa sababu ilikuwa wazi kwamba wangenufaika wao zaidi.
Juzi tena akakata safari za Kenya airways baada ya Kenya kuzuia magari ya Tanzania mbona walikuja wenyewe kuomba pooo!
Nasikia watu wakisema eti Makamba apewe ile wizara shauri yenu mipaka itafunguliwa mtaisoma namba!