Busara zangu tu: Samwel Sitta pumzika!

Busara zangu tu: Samwel Sitta pumzika!

Kama Mugabe

Mugabe hahaha Hoi kabisa! Nyerere alisema kuwa kuna watu wanakuambia wewe bado unatosha tu! Kumbe wanatetea matumbo yao. Maana ukitoka tu atakayekuja tu anakuja Na style zake.
 
Sitta anaomba uSpeaker ili akamlinde mkewe mjengoni.... Hana imani na mabazazi wa mjengoni
 
Aliharibu bunge la katiba. Marehemu nao walipiga kura. Alinajisi ibada za watu,eti waliokuwa kwenye hija walipiga kura,wakati hakuna nafasi kama hiyo kwa jinsi ilivyobana. Mungu akakasirika, unakumbuka kilichotokea mwaka huu kwenye hija?
 
Sitta anaomba uSpeaker ili akamlinde mkewe mjengoni.... Hana imani na mabazazi wa mjengoni

Hahahahahah inawezekana Maana asipokuwa speaker tu utakua utata utata 😂😂😂
 
Aliharibu bunge la katiba. Marehemu nao walipiga kura. Alinajisi ibada za watu,eti waliokuwa kwenye hija walipiga kura,wakati hakuna nafasi kama hiyo kwa jinsi ilivyobana. Mungu akakasirika, unakumbuka kilichotokea mwaka huu kwenye hija?

Hivi Sita Hana watoto?
 
Mimi busara zangu tu za kipumbavu pumbavu tu!

Mzee sita akipiga hesabu vyeo vyote alivyowahi kushika anatakiwa kupumzika. Muda umeenda population imeongezeka wasomi wapo wa kutosha hakuna mwenye uwezo wa kuwa Na vyeo alivyowahi kushika katika kipindi hiki. Akiendelea kung'ang'ania sana atakuwa kama Kingunge. Hana mchango mpya tena. Alipewa nafasi ya kuleta mchango wake tayari kuna watu wanamichango hawajawahi kupata nafasi.

Apumzike?ishu ya richmond ikiibuka nani ataitetea?
 
Tufundishwe namna ya kutumia raslimali zetu tukiwa vijana.Watumishi wa umma walio na zaidi ya 50, nadhani wangehamia kwenye ajira binafsi baada ya kupewa pensheni ili vijana waajiriwe.
 
Naunga hoja kwa 100%. Kwanza huyu Mzee alishapoteza sifa wakati akiwa Mwenyekiti wa BMK kwa kuwarushusu akina Asha Bakari nk kuota mipasho Bungeni. Hana jipya ni bora apumzike.
 
sitta anajiabisha apumzike kwa muda aliotumikia taifa sidhani kama atakuja na wazo jipya hawa ndio wanaotaka kujenga imaya kwenye chama sio yeye hata makinda apumzike tunahitaji sura mpya zenye mawazo mapya ya kimaendeleo
 
Namkubali sana raisi wa wafuga nyuki Tanzania a.k.a wapigwe tu.
Kwasasa yupo njiani kuelekea kuboresha ufugaji wa nyuki Tanzania sio kung'ang'ania madaraka ya kisiasa.
 
Mimi busara zangu tu za kipumbavu pumbavu tu!

Mzee sita akipiga hesabu vyeo vyote alivyowahi kushika anatakiwa kupumzika. Muda umeenda population imeongezeka wasomi wapo wa kutosha hakuna mwenye uwezo wa kuwa Na vyeo alivyowahi kushika katika kipindi hiki. Akiendelea kung'ang'ania sana atakuwa kama Kingunge. Hana mchango mpya tena. Alipewa nafasi ya kuleta mchango wake tayari kuna watu wanamichango hawajawahi kupata nafasi.

Siyo tu apumzike bali haiba yake aliyokuwa nayo tangu huko nyuma hadi bunge la 9 alikuja kuiharibu mwenyewe ktk bunge la katiba aliposimamia kuvuruga maoni ya katiba ya wananchi. Yaani mimi sitaki hata kumsikia. Juzi nimemwona ktk tv anatishia kwenda mahakamani akiletewa mizengwe nikahama station na kupeleka tv nyingine
 
..mimi niliupenda utendaji na misimamo ya Samuel Sitta alipokuwa waziri wa afrika mashariki. napendekeza Raisi Magufuli amrudishe Mzee Sitta ktk wizara hiyo. katika awamu hii tusikubali kabisa kuchezewa-chezewa ktk jumuiya ya Afrika Mashariki.

cc msemakweli, Geza Ulole
 
Last edited by a moderator:

Utakuwa unafaidika na yeye! Imagine magufuri asingepewa nafasi angekuwa wapi?
 
Last edited by a moderator:
Utakuwa unafaidika na yeye! Imagine magufuri asingepewa nafasi angekuwa wapi?

..sijafaidika binafsi.

..pia sikuupenda utendaji na mwenendo wake alipokuwa mwenyekiti wa bunge la katiba.

..ila kwa wizara ya afrika mashariki nadhani aliimudu.

..hata kama Raisi akimua kuteua mtu mwingine, basi itapendeza kama mteuliwa atakuwa mtu asiyeyumbishwa kimsimamo kama Samuel Sitta.
 
Hana, mpaka sasa anakaa nyumba ya spika kwa nini? kikwete alimuogopa, kama magufuli anataka tumuone serious basi cha kwanza amtoe kwenye ile nyumba pale msasani/masaki ama sivyo tutamtoa sisi wenyewe
 
Back
Top Bottom