Kuna kitu alikisahau ktk ofisi ya spika?
Akarine asali hatumtaki akilazimisha tutamkata tuu maana hakuna namna
Sitta awe na Sura ya Aibu, hivi kama u spika tu hivyo, Urais si angebadili katiba kabisa?
Wewe Lazima Utakuwa Ni Mkurya Tu. " Akarine ".
Exactly hujakosea
Tafadhal ndugu Jakaya kuna Mwanamtandao mmoja anaitwa Sitta ulisahau kum frustrate kama Rostam,Lowassa, Nchimbi,Kingunge,Mgana,Mgeja,Masha,Sophia Simba,Karamagi njoo utumie mbinu zako za kimedali asimsumbue, Kama ulimuweza Heavy weight Lowassa itakuwa huyu, 2010 ulimnyofoa kwa kigezo cha jinsia muibukie na kigezo cha Rangi, Rais Mweusi halafu Spika atakuaje tena Mweusi walau afikiriwe Jenista
Huyu mzee hovyo kabisa, nilisikiza mahojiano yake na AZAM TV nikabaki kuduwaa. Anajiona ni yeye tu mwenye haki ya kuwa spika!
Utakuwa mzee wa fitina wa CCM 😂😂😂
Baada ya kukatwa Edo Dodoma, Mzee Kingunge akawa njia panda hajui ahame au la Mamlaka ikashauri Vijana wamtimue Ukamanda wa uv ccm Taifa ili akasirike aondoke na kweli akaondoka, baada ya Edo kukatwa Dom, Kingunge alimuagiza Nchimbi team Lowassa wote wakutane wapange mkakati wa kupiga kura ya kutokuwa na Imani na Mwnkt wa Taifa ccm basi ile kuanza tu mkUsanyiko likaibuliwa igizo la Mill 700 za Manji kumbeba Membe pale St Gasper Dosoma basi wote wakapandwa na mihemko ya kwenda kumkata Membe tena sio kumng'oa Mwnkt au kupigania Edo arudishwe kumbe jina la mgombea liko mfukon kwa Mwenykt. Ndio Fitna za Kik.were hizi!
Katosha bwana,afanye shughuli za jamii tu,waziri tokea sijazaliwa,mpaka nikazaliwa yeye waziri tu,mpaka nimezaa ,yeye bado waziri tu.