Busara zangu tu: Samwel Sitta pumzika!

Busara zangu tu: Samwel Sitta pumzika!

Mimi busara zangu tu za kipumbavu pumbavu tu!

Mzee sita akipiga hesabu vyeo vyote alivyowahi kushika anatakiwa kupumzika. Muda umeenda population imeongezeka wasomi wapo wa kutosha hakuna mwenye uwezo wa kuwa Na vyeo alivyowahi kushika katika kipindi hiki. Akiendelea kung'ang'ania sana atakuwa kama Kingunge. Hana mchango mpya tena. Alipewa nafasi ya kuleta mchango wake tayari kuna watu wanamichango hawajawahi kupata nafasi.
Mwache akapate kura 2 aaibike mbele ya mkewe
 
Huyu Mzee kama ana washauri basi aachane na siasa alee wajukuu nyumbani kwake...kwa maana ni ngumu sana kwake kufikisha hata kura kumi tu. yeye na mama Makinda wanaenda kupata shock ya mwisho ya maisha yao...wataangushwa vibaya sana na akina Ndugai na timu yake ambayo imejipanga vizuri sana
 
Na pia lowasa apumzike...yeye ndo kachoka kuliko
Alishasema wakati anahojiwa na BBC Swahili kwamba akishimdwa anaenda kufuga. Sasa huyu mwingine ambaye sitamtaja jina akikatwa anaenda mahakamani
 
Nasikia anautaka uspika kwa udi na uvumba na amesema akienguliwa kwa kigezo chochote kile hatakubali. Kuna watu wanadhani wamezaliwa kutawala wengine na huyu ni mmoja wao.

Dudus umeongea ukweli mtupu. Bunge la katiba lilimshinda lakini kwa jinsi asivyoona anaona kama vile alipeleka rocket mwezini! Pumzika mzee hatuhitaji mchango wako kwa sasa
 
Michango karb yote inamtaka kupumzika, nadhan anasoma maon au kunawatu wanampelekea taarifa, ni vyema akapumzika... asije kupata aibu kama ya mtangulizi wake ambae aliona usipika kama mali yake.

Pumzika mzee wangu, imetosha sasa
 
Tafadhal ndugu Jakaya kuna Mwanamtandao mmoja anaitwa Sitta ulisahau kum frustrate kama Rostam,Lowassa, Nchimbi,Kingunge,Mgana,Mgeja,Masha,Sophia Simba,Karamagi njoo utumie mbinu zako za kimedali asimsumbue, Kama ulimuweza Heavy weight Lowassa itakuwa huyu, 2010 ulimnyofoa kwa kigezo cha jinsia muibukie na kigezo cha Rangi, Rais Mweusi halafu Spika atakuaje tena Mweusi walau afikiriwe Jenista

Au anataka kupunguza speed ya Magufuri kule bungeni😂😂😂 wakae pembe tunataka watu wenye uwezo wakutumia miaka mitano tu. Si kila baada ya miaka 5 we speaker tu!
 
Tna awah,nlkuw na list ya watu ambao ckpenda niwaone tna serkaln ili watupshe nac mfn 6 mwenyew, tbaijuka, chenge, wacra mrema ideas zao zmezeeka, pia nltabasam kdg wacra na mrema kulazmishwa kupmzka na wananchi wao majmbon kwao.
 
Mimi busara zangu tu za kipumbavu pumbavu tu!

Mzee sita akipiga hesabu vyeo vyote alivyowahi kushika anatakiwa kupumzika. Muda umeenda population imeongezeka wasomi wapo wa kutosha hakuna mwenye uwezo wa kuwa Na vyeo alivyowahi kushika katika kipindi hiki. Akiendelea kung'ang'ania sana atakuwa kama Kingunge. Hana mchango mpya tena. Alipewa nafasi ya kuleta mchango wake tayari kuna watu wanamichango hawajawahi kupata nafasi.

Acha yamtokee ya Pius Msekwa
 
Sitta toka ambandue demu wangu sina hamu naye kabisa....yaani nikisikia jina lake nasikia ukakasi wa kutisha
 
Sitta toka ambandue demu wangu sina hamu naye kabisa....yaani nikisikia jina lake nasikia ukakasi wa kutisha

Mkuu Kigogo usituchekeshe, huna hamu na mbanduaji? Mbanduliwaji? Mwanaume na kama Simba anawinda hajui kama mnyama aliyepo mbele yake ashabukiwa
 
Last edited by a moderator:
Sitta toka ambandue demu wangu sina hamu naye kabisa....yaani nikisikia jina lake nasikia ukakasi wa kutisha

Ahahahahaaa dah pole Mkuu, bado unaendelea na huyo demu?
 
Sasa akiacha uspika mnafikiria Pain killers za million 8 atanunua na nini ??
Lile jumba la spika O'bay amashaliachia ???
 
Back
Top Bottom