BUSARA: Freeman Mbowe jitokeze kuonesha mshikamano wa CHADEMA katika Kesi inayomkabli Lissu. Kushiriki kwako kutaponya mgawanyiko uliojitokeza

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!

Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!

Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
 
Muacheni Mh Mbowe apumzike! Amekitumikia Chama kwa uaminifu kwa miaka mingi na mkaona imetosha! Mkaona hana jipya! Msimsumbue. Ni maoni yangu.
Nb: Hata Mbowe alipitia hayo mateso. Uongozi si lelemama! Kama mlifikiri Mbowe ana enjoy kuwa kiongozi, sasa mmejua joto la uongozi!
 
You have a point! But kwenye shida tunasahau tofauti zetu na kuwa wamoja. Hii ni chadema Family!
 
Ni kweli kabisa! Hata wewe una point nzuri sana! Na huo ndiyo ukweli! Lakini binafsi natamani akae pembeni kidogo zaidi ili kutoa fundisho kwa wanachadema na wengine!

Unajua hata Mh Muammar Ghaddaf pale Libya walimfanyia ushenzi, wakisahau yote mema aliyowatendea lakini leo hii kuna watu pale Libya wanajuta na kumkumbuka!

Ili kutoa somo na kuleta heshima miongoni mwetu, nashauri Mh Mbowe aendelee kuwa pembeni kwanza! Isitoshe, akikaa pembeni itawapa pia kundi la Mh Lissu nafasi ya kujifunza kushughulikia matatizo ya aina hii!
 
Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!

Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!

Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
Kwenye maisha tukisema tufanye wanacho taka watu wengine tutaishia kuchanganyikiwa kabisa. Akijitikeza wapo watakao sema ana waingilia viongozi wa sasa. Asipo jitokeza akina nyinyi mnamtaka.
 
Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!

Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!

Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
Mbowe hana sababu za kujitia kiherehere tumwache apumzike.
 
Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!

Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!

Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
Don't worry brother.. Lissu will make it.. To the fullest.. In the admist of grief friends will show up without invitation..
 
Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!

Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!

Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
Lema anavyomtukana kwa kutumia fake account simshauri Mbowe aungane na hao wahuni!! Wameonesha ujuaji wa kitoto sana!
 
Muacheni Mh Mbowe apumzike! Amekitumikia Chama kwa uaminifu kwa miaka mingi na mkaona imetosha! Mkaona hana jipya! Msimsumbue. Ni maoni yangu.
Nb: Hata Mbowe alipitia hayo mateso. Uongozi si lelemama! Kama mlifikiri Mbowe ana enjoy kuwa kiongozi, sasa mmejua joto la uongozi!
Pamoja na Mbowe kuteswa sana na utawala wa Magufuli na baadaye Samia sikuwahi fikiri siku moja atatukanwa matusi na kashfa za namna ile. Haki ile heshima niliyowahi wapa baadhi ya watu akiwemo Lissu imeyeyuka mithili ya barafu juani.
 
Mwache Mzee Mbowe apumzike kazi ya kujenga demokrasia ya nchi ni kubwa sana alioijenga..watu wachache wanataka kuiharibu na kumdhalilisha kisa maslahi yao..
 
Ni kweli kabisa! Hata wewe una point nzuri sana! Na huo ndiyo ukweli! Lakini binafsi natamani akae pembeni kidogo zaidi ili kutoa fundisho kwa wanachadema na wengine!

Unajua hata Mh Muammar Ghaddaf pale Libya walimfanyia ushenzi, wakisahau yote mema aliyowatendea lakini leo hii kuna watu pale Libya wanajuta na kumkumbuka!

Ili kutoa somo na kuleta heshima miongoni mwetu, nashauri Mh Mbowe aendelee kuwa pembeni kwanza! Isitoshe, akikaa pembeni itawapa pia kundi la Mh Lissu nafasi ya kujifunza kushughulikia matatizo ya aina hii!
Naunga mkono hoja.
 
Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!

Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!

Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
Mbowe yupo mtegoni ...ndiyo shida ya kuwa kibaraka wa ccm sasa ajui afanye nini maana yupo katika dimbwi la laana ya usaliti na unafiki...hili tukio la kukamatwa kwa Lissu linaweza kummaliza kabisa Mbowe maana ana tatizika kulipinga maana akilipinga anakuwa kamuunga mkono Lissu na kuisaliti timu yake ya walamba asali na kuisaliti CCM na kuonekana kaunga mkono NO REFORM NO ELECTION
 
Pamoja na Mbowe kuteswa sana na utawala wa Magufuli na baadaye Samia sikuwahi fikiri siku moja atatukanwa matusi na kashfa za namna ile. Haki ile heshima niliyowahi wala baadhi ya watu akiwemo Lissu imeyeyuka mithili ya barafu juani.
Wewe ni sawa na mimi aisee. Mbowe kakilinda chama wakati wa Magufuli huku akina Lissu, Lema na Slaa wote wakiwa wamekimbia nchi. Leo anabezwa namna ile, hapana aisee. wamuache atulie. Hata sasa uongozi wa Lissu bado unamdhihaki Mbowe. Mfano kitendo cha kumkaribisha Dr. Slaa naye akasema waziwazi nimerudi kwakuwa wabaya wangu hawapo tena (akirefer Mbowe na clonies wake). Hii inaleta picha gani?
 
Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!

Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!

Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
Hawezi kujitokeza asilani abadani. Mwamba bado haamini kwamba alishindwa uchaguzi. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hayo ni mawazo yako na wala si sahihi. Kamuokoe Lissu gerezani, uache kujificha kwenye kichaka cha Aikael. Mlitaka akae pembeni na kakaa kwelikweli, chokochoko dhidi yake za nini tena?
Mbowe yupo mtegoni ...ndiyo shida ya kuwa kibaraka wa ccm sasa ajui afanye nini maana yupo katika dimbwi la laana ya usaliti na unafiki...hili tukio kukamatwa la lissu linaweza kummaliza kabisa mbowe maana ana tatizika kulipinga maana akilipinga anakuwa kamuunga mkono Lissu na kuisaliti timu yake ya walamba asali na kuisaliti CCM na kuonekana kaunga mkono NO REFORM NO ELE
 
Back
Top Bottom