BUSARA: Freeman Mbowe jitokeze kuonesha mshikamano wa CHADEMA katika Kesi inayomkabli Lissu. Kushiriki kwako kutaponya mgawanyiko uliojitokeza

Mbowe akiongea tu, watasema kapewa pesa na Abdul😀😀😀
 
Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!

Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!

Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
Lisu alipinga MARIDHIANO ili Mbowe aendelee kusota korokoroni,

Je,
hii inamaani wema ni akiba njema?🐒
 
MNAMPA MBOWE UMUHIMU ASIOKUA NAO. KWAN WEWE UNA UCHUNGU ZAID KULIKO AKINA LEMA NA HECHE NA WENGINE??
WAO WANAJUA CHA KUFANYA NA KAMA WATAHITAJI MSAADA WA MBOWE WAO WANAJUA PA KULPATA HATA WEWE USIPOSEMA
 
Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!

Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!

Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
Mbowe kujitokeza ama kutojitokeza ni utashi wake mwenyewe hashurutishwi ila Lisu wakishindwa kumtetea najua atajitetea mwenyewe hatimaye mapambano yataendelea haya ni maisha tu tunapita nakuacha historia
 
Freedom Mbowe anahusika vipi?
Wamesema anawapotezea muda,ameondoka.
Na sasa Tundu Lissu habari yake kwisha. Yuko lock-up.
Which is a good thing,you know.
This person of frail health might just collapse on stage.
Sasa Tundu Lissu amewekwa ndani,Rais Samia anaweza kulala kwa amani tena.
Tundu Lissu yuko lock-up.
Badala ya kulipiza Tundu Lissu atafanya nini sasa ni bora uulize wewe utafanya nini sasa.
Tundu Lissu hawezi kufanya kitu sasa.
How can he do anything wakati yuko lock-up?
Wewe,you have to consider how to move forward from here.
 
Hayo ni mawazo yako na wala si sahihi. Kamuokoe Lissu gerezani, uache kujificha kwenye kichaka cha Aikael. Mlitaka akae pembeni na kakaa kwelikweli, chokochoko dhidi yake za nini tena?
Mimi sina mpango na wapumbavu wa ccm wala chadema ila nilicho andika ndiyo ukweli...sasa hivi mbowe kabanwa kutokana na hii issu....maana ana machaguo mawili tu either kumuunga mkono lissu au kujimaliza kabisa yeye na genge lake kwa kuonekana vibaraka wa ccm kwa asilimia 100% mbowe awezi kuji hide...kabanwa faida itakuwa kwa LISSU
 
Kwa maoni yangu CCM wamefanya vizuri kumkamata Mheshimwa Tundulisu nimetaja CCM badala ya polisi nikutokana na mitizamo wa bunge la CCM walivyotoa maoni Yao bungeni,. Kuhusu hili hili la kuwekwa ndani Mheshimwa Tundulisu

Wenye akili tunajua kwamba hapo ndiyo patamu itarahisha no reforms no elections yaani hapo ndipo CCM wamejichanganya

This will speed up the so called no reforms no elections, because laws are going to be practiced towards quick reforms for the coming general elections

You can fool some people all the time but not all people at all time
 
Freedom Mbowe anahusika vipi?
Wamesema anawapotezea muda,ameondoka.
Na sasa Tundu Lissu habari yake kwisha. Yuko lock-up.
Which is a good thing,you know.
This person of frail health might just collapse on stage.
Sasa Tundu Lissu amewekwa ndani,Rais Samia anaweza kulala kwa amani tena.
Tundu Lissu yuko lock-up.
Badala ya kulipiza Tundu Lissu atafanya nini sasa ni bora uulize wewe utafanya nini sasa.
Tundu Lissu hawezi kufanya kitu sasa.
How can he do anything wakati yuko lock-up?
Wewe,you have to consider how to move forward from here.
lock-up nonsense that is just a transit for hero
 
Mbowe yupo mtegoni ...ndiyo shida ya kuwa kibaraka wa ccm sasa ajui afanye nini maana yupo katika dimbwi la laana ya usaliti na unafiki...hili tukio kukamatwa la lissu linaweza kummaliza kabisa mbowe maana ana tatizika kulipinga maana akilipinga anakuwa kamuunga mkono Lissu na kuisaliti timu yake ya walamba asali na kuisaliti CCM na kuonekana kaunga mkono NO REFORM NO ELECTION

Upo sahihi
mh. Mbowe atatumia hii fursa kwa maslahi yake ktk chama na mfumo, usishangae akiwa mstari wa mbele ktk ishu ya Lissu
 
Wewe ni sawa na mimi aisee. Mbowe kakilinda chama wakati wa Magufuli huku akina Lissu, Lema na Slaa wote wakiwa wamekimbia nchi. Leo anabezwa namna ile, hapana aisee. wamuache atulie. Hata sasa uongozi wa Lissu bado unamdhihaki Mbowe. Mfano kitendo cha kumkaribisha Dr. Slaa naye akasema waziwazi nimerudi kwakuwa wabaya wangu hawapo tena (akirefer Mbowe na clonies wake). Hii inaleta picha gani?
Wakati wa magufuli chadema iligeuka KUWA CCM NA CCM YA MAGUFULI ILIGEUKA KUWA CHADEMA ndiyo maana Magufuli ana heshima kubwa kuliko kiongozi yoyote na wananchi wazalendo tunamkubali kwa asilimia 100%...wote walio mchukiq JPM walikuwa wahuni tu na wahuni ni wale wote wanao wachukia wazalendo na kuuchukia uzalendo...NIKAMA SERIKALI YA SAMIA NA GENGE LAKE, KWAO MZALENDO NI ADUI NA UZALENDO NI MAVII.
 
Upo sahihi
mh. Mbowe atatumia hii fursa kwa maslahi yake ktk chama na mfumo, usishangae akiwa mstari wa mbele ktk ishu ya Lissu
Ni ngumu maana akifanya hivyo atakuwa kamuunga mkono lissu na asipo fanya hivyo atakuwa kajidhihilisha kuwa yeye ni kibaraka wa walamba asali wa ccm ndani ya chadema .....MBOWE KAWEKWA MTU KATI KWA HILI TUKIO .
 
Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!

Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!

Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
Mbowe aliishastaafu na .mlisema ni mzee, mla rushwa .

Ajitokeze kufanya nini wakati nyinyi wajuaji mpo?

Endeleeni na itihada zenu za kuzuia uchaguzi
 
Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!

Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!

Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
Tatizo lilianzia kwa TAL. Alikuwa hahudhurii kesi za FAM
 
Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!

Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!

Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
Kumbe humjui mwamba atakuwa anashangilia anakunywa konyagi
 
Back
Top Bottom