Buriani ndugu zangu , tutaonana akhera

Buriani ndugu zangu , tutaonana akhera

Jamaa haaminiki fuatilieni thread zake ni za kizushizushi tu (ana ID nyingine ya HR)

Kumbukeni pia yule jamaa fulani aliyejisingizia kufa{DH alidai Puppa kafa wakati ni ID take}

Bahati nzuri JF huwa inatunza kumbukumbu za thread za nyuma....hivyo wazee wa pumbapumba na kick tunawafahamu

Atakachofanya ni kuizika tu ID kisha atakuja kivingine
Kick ya mwaka mpya
kumbe yeye hafi asante kwa taarifa mkuu
 
naona kitufe chake cha online kinawaka waka bado .. naamini yupo nasi ila sasa kachukua muda

Yeezus was last seen: 4 minutes ago

ananiogopesha
Huyo mzee wa ukorofi na fix asikupoteze muda
 
Taifa limetua mzingo, maana bajeti ya serikali haiji toshelezi kwa mahitaji ya watanzania wote lazma wapuuzi kama nyie mpungue kwanza
 
Jamaa haaminiki fuatilieni thread zake ni za kizushizushi tu (ana ID nyingine ya HR)

Kumbukeni pia yule jamaa fulani aliyejisingizia kufa{DH alidai Puppa kafa wakati ni ID take}

Bahati nzuri JF huwa inatunza kumbukumbu za thread za nyuma....hivyo wazee wa pumbapumba na kick tunawafahamu

Atakachofanya ni kuizika tu ID kisha atakuja kivingine
Kick ya mwaka mpya
Kweli Maisha yamekua magumu..... Kwahiyo anaiua ID alafu anamtuma huyo FAIZHAD kuja omba rambi rambi hapa. Hatutoi hela bila kuhakikisha kazikwa.
 
Mkuu hebu weka wazi kwanza nini tatizo...tukushauri
 
kumbe yeye hafi asante kwa taarifa mkuu
Si mnakumbuka David Harvery na fix ya kifo cha Puppa wakati ni ID take ya pili? Baada ya hapo alifukia tu ID zake au kapigwa life ban

Sasa haka kajamaa ndo HR 666 na kana hii ya Yeesus
Baadaye anaweza kuzuga "shukrani wakuu kwa kuniokoa"
Don't trust him
 
asante mkuu kwa kunifumbua macho
 
ha ha nshashtuka hapa nothing more mkuu kufa tu
 
Kweli Maisha yamekua magumu..... Kwahiyo anaiua ID alafu anamtuma huyo FAIZHAD kuja omba rambi rambi hapa. Hatutoi hela bila kuhakikisha kazikwa.
Mi nimewajulisha ninavyomfahamu swaga zake
Ambao hawaekewi waendelee kupoteza muda
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
hahahahahahah presha kwa wanaokudai ningekuwa nakudai wala sikuruhusu ufe
 
mkuu naomba jina lako kamili mleta taarifa anaweza asilete kwa wakati?
mkuu naomba kama unapesa kwenye account yako nitumie ?
mkuu nakutakia safari njema huko uendako
Tuwasiliane tukamzike ndg yetu kama kweli atatimiza ndoto zake.
 
Yeezus na HR 666 mna uhusiano gani?
Ni multID?
 
Back
Top Bottom