Mzee Kichuguu,
Hutaki kumjua huyo mtu aliyekuwa akituma messages kibao huko majuu toka kifo kilipotokea, maana kwanza ni mwanachama wa hii forum, halafi ni aibu hata kumtaja ndio maana tulisema tuna data, mkabisha tena wewe ukiwa nambari one, aibu hii kwa mtu mzima!
Lakini subiri tuzike kwanza, Mzee Mswahili tuletee yanayoendelea na ssi tunaendelea kukusanya data, Mswahili ninakusikilizia mkuu wangu katika hili ukisema fungulia mbwa tu, mwanangu tunaanza kumkoma nyani hapa hapa giladi!
Mzee Kichuguu,
Heshima mbele mkuu wangu, sina noma na wewe ila nimektumia ujumbe kwa pembeni chek it out!, tena huyu jaamaa amekuwa akiwatumia ujumbe wakina mama tu ina maana ana business siku zote na hawa kina mama huyu?
Bado tunaendelea na msiba wa marehemu Mungu amuweke mahali pema peponi!,
It seems kuna mengi yalokuwa yakiendelea behind the scene kama heading ya gazeti hili "la udaku" inavyoonyesha.I wish yangekuwa online....