Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,197
- 28,628
Unaweza kukuta wageni ukute akina Luka na Genge lao.View attachment 3362989
Gazeti la leo Daily News pg2, kuna picha inaelezea kinaga ubaga hali ya mijadala Bungeni-HALINA MVUTO!
Wageni nimehesabu katika picha, wengine wamelala, mmoja kaja na shuka kabisa toka nyumbani. Mwingine yuko busy na simu.
Wawili wanasogoa.
Heko Bunge letu takatifu.