BUNGENI: Mjadala wa mpango wa maendeleo wa taifa

BUNGENI: Mjadala wa mpango wa maendeleo wa taifa

Huyu Mbunge mbona analalamika sana? Amegeuza Bunge kua mahakama. Magamba kwa Magamba wanachinjana, mmh halafu kawa mnyonge huyo zambi duh! Hili bunge halina focus!
 
Anamaliza kwa kusema kuwa haya ndio mawazo ya wabunge vijana ambao wanataka kulipka ili wanachi wawaone

anasiama mwenyekiti na kutoa ufafanuzi wa miongozo amabyo kwa kweli jioni ya leo imeshamiri hasa na mambo yamekuwa moto
 
nimeudhika sana na jinsi huyu mtu anayeitwa mwenyekiti wa bunge anavyoendesha bunge,anamfokea mbunge kafulila kwa nini??mbona anaonyesha udhaifu mkubwa kiasi hiki,
huyo **** nani kamteua awe mwenyekiti wa bunge letu
 
Kanuni ya 68 kifungu cha saba mwenyekiti amesema hicho kifungu kinamruhusu yeye tuu kutoa muongozo wa jambo linalotokea bungeni hivo basi mpaka apate muda unaofaa....hata zambi kaambiwa muongozo wake wa kutaka ushahidi utajadiliwa baadae kaamua mwenyekiti kupitia kifungu hicho
 
Kammaliza Zambi. CCM kimya, hakuna kelele wala minong'ono. Angekuwa Makinda ingekula kwa Kafulila
 
Unasikiliza bunge lakini wewe? Amesema na amerudia sana kauli hiyo. Uko wapi Mkuu watakucheka
Unamsingizia hamad, kila mtu ameangalia,.hamad alielezea namna watu wa kisiwa alichotembelea walivyo busy na wanavoconcentrate katika issues zao za kujenga taifa lao na hata wakiwa wanaandamana mchana hawana muda na hivyo maandamano yao hufanyika usiku.Umetosha.
 
Kanuni ya 68 kifungu cha saba mwenyekiti amesema hicho kifungu kinamruhusu yeye tuu kutoa muongozo wa jambo linalotokea bungeni hivo basi mpaka apate muda unaofaa....hata zambi kaambiwa muongozo wake wa kutaka ushahidi utajadiliwa baadae kaamua mwenyekiti kupitia kifungu hicho

Anachotaka kukifanya Zambi ni kujihami kwa kuwa mwnyekiti ashasema atalitolea hili maelezo na ndio tunasubiri hapa sasa aache usanii kama aliomba mlungula itajulikana
 
Mjadala unaahirishwa hadi kesho kwa wachangiaji waliosalia

Tutakutana kesho alamsiki
 
Mwenyekiti kabanwa na muda wala sio kubana kimtazamo wangu ila sijui maana kila mtu gamba siku hizi...bunge limeahirishwa mpaka kesho saa tatu am
 
Kammaliza Zambi. CCM kimya, hakuna kelele wala minong'ono. Angekuwa Makinda ingekula kwa Kafulila

Huyu mwenyekiti anaweza kuongoza sio mama Makinda hapa nahisi angekua na hasira sana na hii miongozo, big up mwenyekiti
 
Unamsingizia hamad, kila mtu ameangalia,.hamad alielezea namna watu wa kisiwa alichotembelea walivyo busy na wanavoconcentrate katika issues zao za kujenga taifa lao na hata wakiwa wanaandamana mchana hawana muda na hivyo maandamano yao hufanyika usiku.Umetosha.
Una matatizo ya akili wewe? Ungefuatilia mjadala ulikoanzia usingekurupuka. Nilichosema ni kwamba Hamad kasema maandamano yanafanyika usiku, kuna mtu hapa akasema sijamsikia vizuri. Nikamjibu kuwa nimemsikia na Mwenyekiti karudia kusisitiza maandamano yafanyike usiku na wewe umekiri hapa kwamba kasema hivyo. Sasa kumsingizia kumetoka wapi? Akili kichwani Mkuu sio tumboni. Unaposema kila mtu unamaanisha nini? Unataka kusema watanzania wote wameangalia bunge la leo? Kamalizie usingizi
 
Mjadala unaahirishwa hadi kesho kwa wachangiaji waliosalia

Tutakutana kesho alamsiki

Ingawa huna hata saa 100 tangu ujiunge FB lakini nakushukuru sana kwa kazi yako kubwa ya leo. Nimekupiga na Thanks hiyo mwanangu kamata!!!! Kesho kama kawa maana wengine hatuna uwezo wa kufuatilia kwenye runinga
 
Hawa wabunge wa chama cha magamba wameligeuza bunge kama sehemu ya mipasho,kila kinachotoka upinzan wao ni kupinga na kuzomea!
 
Sasa kama alikuwa na taarifa na hard evidence kwa nini hakupeleka sehemu husika ili sheria ichukue mkondo wake?
apeleke wapi? Kwenye takukuru ya Hosea au? Hiyo inayopamba rushwa badala ya kupambana nayo? We kweli gamba!
 
Ingawa huna hata saa 100 tangu ujiunge FB lakini nakushukuru sana kwa kazi yako kubwa ya leo. Nimekupiga na Thanks hiyo mwanangu kamata!!!! Kesho kama kawa maana wengine hatuna uwezo wa kufuatilia kwenye runinga
Wengine unakuta wamepigwa BAN so wanaingia kwa mlango wa nyuma! Huyu mwenyeji mbona!
 
Back
Top Bottom