Huyu mwenyekit ni kichwa, angekuwa anne makinda kazi ingekuwepo.
kikombe cha babu hakikumsaidia!?Kisukari kinamsumbua sana huyu mzee
Kisukari kinamsumbua sana huyu mzee
nia ya mwongozo kwa mwenyikiti ilikuwa wanataka aponde hoja ya lissu, mwenyekiti katumia busara.Kaijahidi sana ila SHELLS hawabebeki
Namwona na huyu kijana ambao baba zao wanaiba fedha nyingi na kwenda kuwasomesha nje anasema kuwa ati mbuge akisema na watu wakiongea basi bunge linakuwa limeshushwa hadhi. Sasa sijui huko nje akuwahi kuona PM question ya UK? basi bunge la Uingereza ni ovyo na low kabisa. January makamba huwezi kuwa maarufu kwa lazima kijana Kaa, tafakari na chukua hatua
Kwa kubebwa na refa? Naona tumeanza kutumbukia katika siasa za kishabiki. Kwani Machali naye yupo Chadema?Kiukweli wabunge wa ccm goli 1 chadema 0. Kwa hoja ya sasa.