BUNGENI: Mjadala wa mpango wa maendeleo wa taifa

Watakapoondolewa hizo posho sasa si ndo watageuka vibaka hawa...kumbe tunafuga matapeli bungeni
 
Ha ha ha, kuna mtu ameomba Mwongozo na Mwenyekiti (Simbachawene) amesema atapanga muda muda mwingine. Sasa ni zamu ya Joseph Selasini Shayo (Chadema)
Hiyo ndo imetoka...wakiomba ushahidi akauleta na ukathibitika, bac zambi atatakiwa akaisaidie takukuru
 
Duh!..hii imekaa vibaya.

Sasa huyo Bw. Godfrey Zambi kama mwanaume ainuke akanushe, duh..hii kali sana.
 
Lilikuwa kosa kubwa sana huyu dogo kuondoka CDM! Lakini wacha vita vipiganwe kila pande.....
 
Kafulila arudie tena kuwataja atakapokuwa anachangia bajeti. Ninavyoona Mwenyekiti amepanga kuyeyusha kimya kimya. Zambi ana kazi maana kwenye CCJ nako yumo
Hivi mbunge kama huyo aneyeomba rushwa atakubali kweli posho ikatwe? Kweli kazi bado ipo.
 
Huyu Kafulila ni mtupu sana katika maswala ya siasa, na inatakiwa akitoka kwenye viwanja vya bunge atiwe pingu na kukimbizwa mahabusu, mbali na kuongea uzushi wa hali ya juu, ni kosa la jinai kumficha au kuficha uovu, Sasa kama alikuwa na taarifa na hard evidence kwa nini hakupeleka sehemu husika ili sheria ichukue mkondo wake?

Huu ni mchezo sasa, watu wanapayuka tu sasa.
 
hapo mwongozo hautatoka, tena nimemuona kafulila alikuwa amenyoosha mkono wakati mkosamali akiomba mwongozo cha msingi kama kafulila anaushahidi arudie kulizungumza wakati wa kuchangia bajeti!
 
Joseph Selasini aomba watajwe wabunge wanaodai RushwaMwenyekiti asema maelekezo ya muongozo yatatolewa baadaye...patamu hapo...Stay watching...Bunge la Zama za uwazi
Alieomba mwongozo wa spika ni mh hynes kiwia wa ilemela cdm
 
Back
Top Bottom