"Alafu huyu silinde ni kweli kapitia chuo kikuu ama longolongo.mbona pumba zimezidi?" wewe umeonaaliongea pumba gani kwa sababu aliiuliza serikali miaka 50 ya uhuru mmeshindwa,kuleta maji safi je miaka mitano mtaweza?akaendelea kusema watu wamechoka kusikia ahadi ambazo hazina utekelezaji je halina ukweli? akatolea mfano wake yeye mwenyewe kamaliza University na kupata ubunge bila gharama zzte zile kwa sababu wananchi wamechoshwa na ahadi hewa,na akaitadharisha serikali amani haiwezi kuendelea kuwepo kama watu wanazidi kuwa masikini,ulikuwa unataka upime elimu yake kwa hoja gani?au unataka awe kama wabunge wa chama cha magamba?wao ni kushangilia tu,kama uliangalia jana mbunge wa CCM kutoka jimbo la mwibara mh.alphaxad aliwaambia mkakati hautekelezeki kwakutumia vigezo vya kimataifa SMARTER mbona hamkubali ukweli nyie watu mmechokwa?