BUNGENI: Mjadala wa mpango wa maendeleo wa taifa

BUNGENI: Mjadala wa mpango wa maendeleo wa taifa

mrema mbona anipigwa sana stop,kaishiwa ameamua kukaa
 
Huyu mzee ananifanya najisikia aibu kuwa Mwana Vunjo!!! Ah!!!
 
Januari kalisemaea hilo la minong'ono kuwa si vema inavunja heshima na haiba ya Bunge...

Simbachawene anatoa ufafanuzi

anasema mic poa tu ila wavumiliane hali hii haipukiki katika hali kama hii ya Bunge mseto

katika hali isiyo ya kawaida mzee kibandiko anakatiza hoja yake kwa kudai muda umekwisha hata hajaambiwa na mwenyekiti sijui vipi hapa

Mwigulu mchemba hewani
 
umeona eeh?
Hana maana, anasumbuliwa na wivu. Hana hata jipya, haya sasa tindu kamshushuaje? Anazeeka vbaya huyu.
 
Mwigulu Mchemba, Katibu wa Fedha na Uchumi wa CCM. Anaanza kwa propaganda
 
Kaanz kurusha mawe anasema upotoshaji siku hizi kipaji anatoa mfano wa hoja iliyouliza leo kuhusu kusainiwa kwa rasimu hiyo

anasema huo ni upotoshaji kwani taasisi kama bunge haiwezi kujadili taarifa ambayo haijasainiwa

anapigwa taarifa na LISU Tena
 
Tundu Lissu tena kamchana Mchemba. Pole sana Simbachawene naona unajaribu kuwabeba jamaa zako. Hata hivyo bado nina imani na wewe kuliko Makinda
 
anamwambia Rais si Mwenyekiti wa Tume hiyo na kwamba mbunge huyo ndo anataka kupotosha

Mwenyekiti anaingilia kati tena

anasema rais na nafasi nyingi kwa kofia yake na bado ni mwenyekiti wa Tume hiyo hivyo kusiani rasimu hiyo bado na nafasi ya kusini katika rasimu hiyo ya mpango wa Maendeleo

anapigwa Taarifa tena

Mwenyekiti anaomba miongozo ipunguzwe

anampa nafasi Mose machari nafai ya Mwisho katika miongozo hiyo

Mose Machali hewani
 
Huyu mwenyekit ni kichwa, angekuwa anne makinda kazi ingekuwepo.
 
Mose kang'ang'ania mbunge aliyepotosha aombe radhi na anakubaliana na mwongozo wa Tundu Lisu

kwa mara nyingine mwenyekiti apeta na mchemba anapata nafasi ya kupumua
 
Simbachawene anajitahidi kuwabeba magamba bt magamba wanaharibu!
 
lile limzee silipendi kabisa,yaani kwa ujumla halieleweki kabisaaa!!
 
Mchemba kaishapanic anatafuta kujinasua katika sekeseke lililomkuba
 
Kiukweli wabunge wa ccm goli 1 chadema 0. Kwa hoja ya sasa.
 
Back
Top Bottom