BUNGENI: Mjadala wa mpango wa maendeleo wa taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BUNGENI: Mjadala wa mpango wa maendeleo wa taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fikirini, Jun 13, 2011.

 1. fikirini

  fikirini Senior Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Za jioni wa JF, naona kijana David kafulila anachangia vyema bungeni dodoma, live muda huu. msiwe mbali atafuata mbowe. Hebu tuwaangalie wawakilishi wetu bungeni jamani
   
 2. Kipilipili

  Kipilipili JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 2,209
  Likes Received: 483
  Trophy Points: 180
  Wadau naangalia bunge hapa,kafulila{mbunge kigoma kusini} ametaja jina 1 la mbunge ZAMBI kuwa ni mlarushwa.
   
 3. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,209
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Sasa Kafulila kaamua kumwaga mboga kwa kuwatuhumu Wabunge kuwa wanaomba rushwa wakienda kukagua miradi mbalimbali ya Kamati zao.

  Miongoni mwa waliotajwa ni Mbunge wa Mbozi Magharibi Godfrey Zambi.

  Hii ni aibu kubwa na kwa mantiki hii wazo la kufuta sitting allowances litagonga mwamba. Alikuwa akichangia live Bungeni kuhusu mpango wa Miaka Mitano ijayo. Welldone Kafulila
   
 4. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ana hamu ya kuwa na kesi huyu....Lema type.
   
 5. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  amewataja godfrey zambi na wenzake CCM live
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mbunge mdogo na machachari David Kafulila jioni ya leo wakati akichangia mradi wa millenia 2011/2012-2015/2016 kuwa kuna baashi ya wabunge japokuwa hakutaja ni wa chama gani bila kuambiwa chochote na spika. Aliwata baadhi kuwa ni Zomba sijui kwa kuwa sauti ya naibu spika ilikuwa ikiiingilia kati kutokana na muda kuisha.

  Swali la msingi ni kuwa kwa nini David Kafulila katoa shutuma nzito kama hizo tena kwa kutaja baadhi ya wabunge japokuwa hakusikika vizuri na ameachwa hivihivi? Ina maana kuna ukweli basi katika hoja yake?
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Pamoja sana Kafulila,
   
 8. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hahaha hata mie nimemsikia, amesema amemshika mbunge akiomba rushwa kwenye halmashauri, akaambiwa wataje akamtaja huyo zambi sijui zomba! Lazima itakua ni kweli tu
   
 9. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,209
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hata mimi nimesikia akitaja, ajabu Wabunge wa CCM hawajaomba mwongozo ili athibitishe
   
 10. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,209
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Ha ha ha, kuna mtu ameomba Mwongozo na Mwenyekiti (Simbachawene) amesema atapanga muda muda mwingine. Sasa ni zamu ya Joseph Selasini Shayo (Chadema)
   
 11. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Joseph Selasini aomba watajwe wabunge wanaodai Rushwa

  Mwenyekiti asema maelekezo ya muongozo yatatolewa baadaye...patamu hapo...

  Stay watching...Bunge la Zama za uwazi
   
 12. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #12
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kuna mbunge mmoja ameomba muongozo wa Kafulila kuwataja hao bila kuchukuliwa hatua yoyote au spika kumuonya lakini naibu spika amesema amepokea hoja hiyo na kuomba muda kwa kuwa ni jambo gumu kidogo. Kazi ipo.
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  CCM iko mahututi kila angle!
   
 14. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #14
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hahaha wameomba mwongozo kuhusu hii ishu Mwenyekiti wa bunge ameyeyusha kiaina na kusema atatoa mwongozo muda utakapo faa!
   
 15. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #15
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  karbu xana mwanagridi katika jamvi letu la Jf. Eng Mayeye yupo humu ila kanunuliwa na cCM,VP Wanasemaje huko R Chuga?
   
 16. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #16
  Jun 13, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Acha kutisha watu wewe? ulishasikia nani kutoka chama cha magamba anampeleka mtu mahakamani kwa kumtaja mla rushwa? Tangia enzi zile za list of shame ya Dr. Slaa hakuna aliyekwenda mahakamani, ametoa nyingine kule Urambo, akina Riz1 wakasema watakwenda mahakamani hadi leo kimya. Sasa tuone kama huyo Zambi atakwenda mahakamani. BTW, kabla hata ya kwenda mahakamani angemtaka Kafulila aithibitishe madai yake mbele ya bunge. Kama hajafanya hivyo ........... Be the judge yourself
   
 17. Zitto

  Zitto MP Kigoma Urban

  #17
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 2, 2007
  Messages: 1,197
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  nadhani ana ushahidi

  Zitto
   
 18. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #18
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Wevi hulindana kwa kuchelewesha mchakato wa kuhakiki ukweli....Kesho wataibuka na ZUGA LA KUFUNIKIA issue hii....Kesho kutwa limesahaulika!! Ndio usanii wanaoufanya kila siku!!

  Issue KUBWA INAWEKWA WAZI LEO; KESHO UNATENGENEZA KITU CHA KUHAMISHA MAWAZO YA WANANCHI kwenye issue hiyo UANWAPA KIPYA CHA KUWAFANYA WAKIMBIZIE MAWAZO NA AKILI HUKO!!!!!!
   
 19. T

  T.K JF-Expert Member

  #19
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Watakuwa wanaogopa yale ya stori ya Pinda na Lema labda!...hadi kataja inawezekana ana data za uhakika...hatimaye CUF na NCCR wanaanza kutambua makosa yao pale walipokubali kutumiwa na CCM
   
 20. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #20
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,209
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kafulila arudie tena kuwataja atakapokuwa anachangia bajeti. Ninavyoona Mwenyekiti amepanga kuyeyusha kimya kimya. Zambi ana kazi maana kwenye CCJ nako yumo
   
Loading...