Mwenye masikio ya kusikia asikie, na wale wote watakaojifanya hawajaelewa, baso waanze kufunga virago 2015.
Pamoja na hayo yote, kuna yale sasa ambayo yanafanyika nyuma ya pazia ambayo watanzania waliowengi si rahisi kuyajua. Mfano mmoja ni huu; mara baada ya kutangazwa baraza jipya la mawaziri, Naibu Waziri mmoja (jina kapuni kwa sasa) aliyepangiwa nyumba ya serikali kule maeneo ya Masaki, alikataa kuingia ktk Nyumba hiyo hadi anunuliwe furniture mpya. Baadhi ya vitu alivyovitaka ni kufungiwa DSTV na kununuliwa flat Screen (3) kubwa za nchi 52. Kitanda alichochagua ni cha sh. mil 15. In summary, furniture tu ziligharimu zaidi ya shi millioni 140,000. Huyu ni just naibu Waziri, ukizidisha kwa baraza zima unapata Sh. Ngapi? Hizo ni mabilioni mengine ambayo yanapotea bila kuwekwa wazi.
Pendekezo, hembu CAG tufanyie audit kisha utuhabarishe, na yeyote aliye na network serikalini, jaribu kufuatilia utaambiwa ukweli.
Source: from a private supplies company which usually do furnish furniture to Gvt houses and offices.
Froida wasifute posho zenye umuhimu kama usafiri na matibabu na nyenginezo kama ni umuhimu wa posho kuwapo. Lakini zijumuishwe katika kodi ili zikatwe kodi. Hilo litaongeza mapato ya nchi na kukuza ustawi wa jamii wa mfanyakazi Tanzania. Posho nyenginezo ifanyike kama nchi zilizoendelea kwamba kama ni vikao wateuliwe watu maalumu walipwe ndani ya mishahara yao posho za vikao (ambayo itakatwa kodi). Ikisha kila mwaka wazitoe taarifa katika jamii tufahamu wanalipwa kiasi gani ili tujue kodi tunazowalipa wamefanya kazi kiasi gani ili wakizembea tuwatimue ofisini.
Kama ni chakula na malazi warudishiwe kiasi walichotumia hotelini na hivyo kama mtu amekaa hoteli bei mbaya atajijua mwenyewe kwani ofisi itaamua ni mwisho kiasi gani walipwe na hivyo ukitumia zaidi ya hapo utajilipia mwenyewe. Vile vile tiketi ya ndege mfano wakiweka afisa au mkurugenzi mwisho wa tiketi kulipiwa ni $1300 na hivyo mkurugenzi akipanda business class shauri yake ajue anafidiwa $1300 tu nyenginezo analipia mwenyewe.
Mfumo wa sasa haufai na ni janga kwani mpaka wasomi kama maprofessa wameona hailipi kuwa mhadhiri na hivyo wanakimbilia kugombea ubunge kwani hakuna anayependa kuteseka maisha haya.
Nakubaliana na wewe,kabisa hata mimi nazungumzia zile posho zisizokuwa na tija nilikuwa na mwambia rafiki yangu mmoja kwamba kuna Posho zinazoshangaza hata mwalikwa kuna siku nilialikwa kwenye mkutano mmoja kwenda kutoa uzoefu wa kazi nizifanyazo na idara moja ya serikali chini ya dakika 20 ( kutokana na ufinyu wa muda) tayari nilikuwa nimefungasha laki moja ,siku nyingine niliandaa washa moja kwa kuwaliiaka viongozi waliharibu kabisa taswira ya kikao kile kwa sababu walitaka tuwalipie madereva wao posho za mahudhurio ,malazi,na fedha za kujikimu ni kweli kwamba wanataaluma wengi wao wanaishia kwenye siasa,kwa sababu mazingira ya kufanyia kazi magumu mno,hawezi kupewa hata fedha za kufanyia utafiti kwenye nyaja ambazo amebobea jamani taifa gani hili lisilo jali wataalamu wake,Ni bora package za mishahara zikaboreshwa na posho za lazima zikawekwa pale
kweli ndiyo maana wametupeleka kwenye level ya wanyama ya kutuaminisha kuwa "kazi ni kazi bora mkono uende kinywani" wakati wenyewe wakikazania kufanya siasa ndiyo iwe chanzo pekee cha kipato cha kuaminika huku wakiwarithisha akina January, Nape, Rz1, Vita, Zainab nk nafasi zao!UMASIKINI SIO BABA YETU ILA UNALETWA NA KUKUZWA NA ccm TUKIAMUA TUTAWAONDOA CCM NA KUUTOKOMEZA UMASIKINI,TUUNGANE TUAMUE SASA
Hapa hazizungumziwi posho muhimu kama ulizotaja. Ni posho za vikao... Sitting allowance.Froida wasifute posho zenye umuhimu kama usafiri na matibabu na nyenginezo kama ni umuhimu wa posho kuwapo. Lakini zijumuishwe katika kodi ili zikatwe kodi. Hilo litaongeza mapato ya nchi na kukuza ustawi wa jamii wa mfanyakazi Tanzania. Posho nyenginezo ifanyike kama nchi zilizoendelea kwamba kama ni vikao wateuliwe watu maalumu walipwe ndani ya mishahara yao posho za vikao (ambayo itakatwa kodi). Ikisha kila mwaka wazitoe taarifa katika jamii tufahamu wanalipwa kiasi gani ili tujue kodi tunazowalipa wamefanya kazi kiasi gani ili wakizembea tuwatimue ofisini.Kama ni chakula na malazi warudishiwe kiasi walichotumia hotelini na hivyo kama mtu amekaa hoteli bei mbaya atajijua mwenyewe kwani ofisi itaamua ni mwisho kiasi gani walipwe na hivyo ukitumia zaidi ya hapo utajilipia mwenyewe. Vile vile tiketi ya ndege mfano wakiweka afisa au mkurugenzi mwisho wa tiketi kulipiwa ni $1300 na hivyo mkurugenzi akipanda business class shauri yake ajue anafidiwa $1300 tu nyenginezo analipia mwenyewe.Mfumo wa sasa haufai na ni janga kwani mpaka wasomi kama maprofessa wameona hailipi kuwa mhadhiri na hivyo wanakimbilia kugombea ubunge kwani hakuna anayependa kuteseka maisha haya.
Tumia akili resource person hu-charge fee sio allowance. Get into ur head.Mkuu walikulipa kidogo sana. Posho za resource person kama wewe huwa si chini ya laki tatu hata kwa dkk tano!! Au hukwenda kama resource person? Posho zitatugawa.
Rwanda mbali hapo Kenya tu unapita Horohoro au Namanga wamepiga marufuku ununuzi wa magari ya kifahari, na wamesimamia maamuzi yetu, hapa kwetu serikali inapiga tararira na kucheza kiduku, PM anatoa maamuzi anashindwa kuyasimamia, aibu kubwa sanaHii ni nchi inayoongozwa na watu wenye mtazamo wa hali ya chini kabisa! Yaani hawana vision na hawajui nini kinaendelea hapa nchini. Na tatizo ni kwa viongozi ambao hawajui njia ya kutongoza. Ni vipofu halafu ndio wanaotuongoza njia! Nenda Rwanda kanchi kadogo ambako juzi tu walichinjana sana na uone sasa walivyo serious na walivyoendela! Sisi ni wasindikizaji tu shauri ya viongozi wetu hawajui watupeleke wapi. How do you explain the fact kwamba wafadhili wetu woye husafiri na economy class na viongozi wetu wanajua hilo lakini bado wanaendelea kusafiri na first class? Ni utaahira? Ni laan? No wonder wafadhili wanatudhara
Mkuu siku hiyo niliweka issue ya posho, lkn walichangia kidogo, mi iliniuma sana kuona kiongozi mkuu anaongea pumba. Nikashangaa kuwa hajui FISICAL POLICy ndo kitu kinacho saidia kubalance issue ya maisha na si kugawa pesa kwa kila m2 anayemsalimia! NAKUBALI INAWEZEKANA KICHWA NANAVYO KIONA NI FUU LA NAZI NA SI KICHWA HALISI.Hii ni nchi ambayo huwezi hata kujieleza kwa wengine jinsi tulivyo. Hatuwezi kupata mtu makini kuwa Rais, waziri mkuu na hata kupata 1st 11 ya timu ya mpira.
Pinda alipoongea kuteteta posho sikuweza kuelewa kama ana kichwa au ni kifuu cha nazi. Tatizo kubwa ilikuwa kujidai kutumia lugha ya upole ili aonekane ni mwema au muungwana kama zilivyo sifa za watu wa CCM. Baadaye eti anasema posho zinatumiwa na wabunge kuwagawia wapiga kura wao nje ya Bunge!! Nonsense!!
Kwa ujumla lazima tukubali kama kweli hicho ndo kizazi kinachostahili kuwa cha wanasiasa wanaofaa kutuongoza, basi hatuna haja ya kuwa na nchi.
naomba kamanda mbowe na jopo lako endeleeni na msimamo wenu wa kukata posho kwani watanzania tupo nyuma yenu na tunasubiri hatima ya jambo hilo. Haiewezekani wachache wakafaidi our national cake najua wao watashinda bungeni kwa wingi wao na makofi wanayopiga hata wakiwa usingizini hivyo naomba muheshimiwa mbowe, zitto. lema, mnyika, lissu, mdehe, vicent nyerere na majemedali wengine leteni hyo hoja kwa wananchi tuone nani zaidi kati ya walipa kodi na wapokeaji kodi