Bungeni: Mbowe aweka msimamo wa posho

Bungeni: Mbowe aweka msimamo wa posho

Huwez amin kwa mara ya kwanza leo ameongea mpinzani ukumbi mzima ulikua kimyaaa!. Hadi niliona kama muda wamempa mchache vile? Maana mpaka ye mwenyewe akatingisha kichwa alipoambiwa muda umekwisha.
kipindi hiki kajipanga kama mfano wa kiongozi. Yeye ni mwenyekiti wa chama na waziri mkuu kivuli. Unategemea nini? Si ajabu hata makinda kumsifia kikao kile
 
Cuf nao wamesema hapana, so conclusion ni kwamba wabunge wote ambao wanatoka vyama vya upinzani wameweka msimamo mmoja,...... hii ni good start ya ushirikiano mpya wa wapinzani. leo hakuna mamluki upande wa upinzani.
Nimeipenda hii, saa ya ukombozi yaja haraka.
 
Sasa hiyo ni summary au? Kama ulidhani huna muda wa kutueleza aliyoyazungumza ungekaa na hicho unachokijua siyo kutuletea kitu ambacho ni nusu na robo hapa!
 
Nilikuwa nasubili jina la Hamad Rashid, nae amesema hapana, maana huyu nilikuwa na mashaka nae, ana hasira za kukosa cheo cha kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni.
 
Kwahiyo ndugu wananchi, wabaya wenu mmeshawagunduwa leo kwamba ni ccm, uwamuzi tunao wenyewe, sio lazima wamalize miaka 5, sisi ndio waajili wa serikali yoyote ile.
Ukifuga nyani utakuja kuvuna mabuwa, hawa ccm ni kupe hawawezi kutuachia mpaka waone tumekwisha kabisa, hali hii haivumiliki hata kidogo.
 
Matokeo ambayo tuliyatarajia ndio yametangazwa wabunge wa ccm wameshinda, sasa wanacheza sebene bungeni kusheherekea umaskini wa Watanzania,....... This is amazing!
Na bunge ndio linahairishwa mpaka kesho, kwahiyo Watanzania ndio tumeliwa, habari ndio hiyo.
 
Yaani hoja ya posho ndo kwishney?. Siamin nadhan leo CCM watafanya sherehe. Dahh!!
 
Yaani hoja ya posho ndo kwishney?. Siamin nadhan leo CCM watafanya sherehe. Dahh!!
Pamoja na uchakachuwaji lakini kuna watu huwa wanawapigia kura hawa kenge, na haya ndio matunda yake,......najivunia rekodi yangu tangu mwaka 1995 sijawahi kumpigia kura mgombea yoyote wa ccm kwa ngazi yoyote. hawa watu mimi nilishakosa imani nao muda mrefu tu.
 
Wabunge wengi wa CCM wanajua hawatarudi mjengoni 2015, hivyo sasa ni kukomba kila kitu sasa.
Wana njonzi za kwenda Chadema baada ya hapo. Je, watapokelewa?
Kuna suala la katiba mpya jamani, naona ndiyo muarobaini wa matatizo mengi tuliyu nayo.
 
Wabunge wengi wa CCM wanajua hawatarudi mjengoni 2015, hivyo sasa ni kukomba kila kitu sasa.
Wana njonzi za kwenda Chadema baada ya hapo. Je, watapokelewa?
Kuna suala la katiba mpya jamani, naona ndiyo muarobaini wa matatizo mengi tuliyu nayo.

Namie naungana na mtazamo wako vigelegele na kushangilia wanajua 2015 hawana chao. Chadema warudi kwa waliowaajiri kwani sasa wahamishie mashambulizi katika majimbo ya waliokubali kupitisha. Lowassa na Rostam wajanja wameona mbali wamekimbia.
 
Mbona sijakusoma mzee, mi naona kama wewe ndio umetapika nyongo hapa na sio mbowe coz hueleweki kabisa? wakati mwingine omba wanajf wakusaidie kuweka thread yako poa.unakuwa kama magamba bana
 
Huyu Mbowe naye mnafiki! Kwanini hakukataa V8 alilopewa kama kiongozi wa upinzani? Kwanin bado anaendelea kupokea posho? Msimamo wa wa cdm kuhusu posho ni upi?

Mkuu, give credit when credit is due. Yaani kati ya aliyoongea Mbowe huoni cha maana unajaribu kutafuta negatives in him? Tusipoteze ajenda kwakuanza kuzungumzia budget ya CDM.Tuzungumzie budget yetu ya Nchi kwasasa naamini CDM, CCM, CUF etc wanavikao vyao wanavyozungumzia budget zao, tuwaachie hilo. Let us be serious on this. Wakati waku-control spending ni sasa tusiache hiki kitu kikapita hivi hivi tu. Maadam CDM wamefungua mjadala let us keep the discussion going mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom