Bungeni Live: Juni 3, 2012 [Morning Session]

Bungeni Live: Juni 3, 2012 [Morning Session]

Naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah! CCM! nasikitika CDM hawajajipanga kwa haya yanayoendelea, this is very right time to be more than aggressive! Mbowe,Slaa,Zitto,Lema,Lissu na wengine what is next? huu ndio muda wa kuonyesha nyie ni viongozi na si wanaharakati tu.
 
jamaa anajipendekeza sana duh, alikuwa hana hoja aache kujipendekeza awe kama wanafiki wanzake wanavyoanza kwa kuunga mkono hoja halafu wanalalama wanakaa, hakuna mtu asiyejua walimu wanamiradi ya kuuza visheti, ubuyu na ice cream mashuleni kujiongezea vipato vya maana mishahara haipoteshi. maprofesa kibao wanafanya lecture vyuo binafsi. walimu wa elimu ya juu tuition kila mahali
 
Acha uongo wako, Adui wa watanzania ni wabunge wa CCM, wananchi tumeshajua kila kitu. Tunangoja 2015 tufanye uamuzi.
 
Naanza kwa masikitiko makubwa kwa wananchi wa Iramba mashariki kwa kumchagua chemba mwiguru kuwa mwakirishi wao bungeni. Kapewa mda wa kuchangia dakika 15 hajaongea kitu cha maana tofauti na kuwa na majungu tu ktk bajeti mbadala ya kambi ya upinzani ambozo kauli zake za kipuuzi zimeleta mnongano mkubwa, hafai hata kidogo kuwa mwakilishi wa wananchi.
 
Duh,,,,asante mdau,,,,wabunge wa upinzani(chadema)watajaza makataba ya bunge kwa ushahidi
yaan ni ushidi na miongozo,,,,nani leo anaendesha kikao,,,,,,?????
 
Acha uongo wako, Adui wa watanzania ni wabunge wa CCM, wananchi tumeshajua kila kitu. Tunangoja 2015 tufanye uamuzi.

Hoja ya Mh. Mnyika aka Mh. Washwa washwa iliishia wapi ? au ndio alikuwa anajitafutia umaarufu km kawaida yake?
 
Mwigulu kachafua hali ya hewa kwa kutoa maneno ya vijembe utazani mwimbaji wa Taarab.

CDM wanamlea! yeye anatimiza aliyotumwa! Wabunge wa CDM lazima wakumbuke machungu waliyopata kuingia bungeni.waache kuwachekea hawa wapuuzi.
 
Uongo mkubwa kwanini wangoje mpaka ijumaa na kwa nini hawaungi upinzani wanaposema swala la madaktari lijadiliwe hawana nyimbo hao wabunge wa CCM ni upuuzi mtupu
 
CCM gani unayoiongelea? Kama ni ile ya jk iliyopeleka mahakamani kujificha ili mgomo wa madaktari upite kama upepo unaovuma.CCM ya spika makinda,mwenyekiti mabumba,wabunge lusinde,kigwangala,nchemba,maji marefu,komba.CCM ya mawaziri kombani,ghasia,simba kuwataja wachache hatutarajii chochote
 
Duh,,,,asante mdau,,,,wabunge wa upinzani(chadema)watajaza makataba ya bunge kwa ushahidi
yaan ni ushidi na miongozo,,,,nani leo anaendesha kikao,,,,,,?????
leo alikuwepo jenista mhagama
 
Hoja ya Mh. Mnyika aka Mh. Washwa washwa iliishia wapi ? au ndio alikuwa anajitafutia umaarufu km kawaida yake?
Anayewashwa ni Mabumba mwenyewe mwangalie mitako ya Mabumba anaujua huyu mchezo wa wazanzibari si ndio kwao
 
Ngumu kuamini...hawawezi na hawana ubavu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mh.Mkasomali na Myika wameomba mwongozokuhusu sakata la madaktari, kwamba imefika wakati sasa liruhusiwe kujadiliwabungeni kwani serikali mado inafanya maamuzi kibabe wakati swala lipo mahakamanina Madaktari wanaendelea kigoma huku wananchi wakizidi kuathirika.

PiaMh.Mnyika amelalamila kuwa jana Mwenyekiti aliwatolea kauli mbaya kwa Mbunge Mkasomali na yeye yaliyokiukaa kukiuka kanuni mbalimbali kwa kuwaambia kauli zamatusi, maudhi na kashifa kufuatia kumwambia Mkasomali kwamba aache kimbelembele,anadandia hoja na anajitafutia umaarufu. Na kwa mnyika kuwa ameshindwa kujibu taarifa (kufatia hoja za Mwigulu ambazo sikubahatika kuzisikia) ambapo hajapewanafasi ya kujibu na kuwa eti Mnyika nawashwa (kauli amabyo aliitafasiri kama nitusi). Majibu ya Mwenyekiti: Kuhusu sakata la madaktari hakutolea jibu lolote,bali Mwenyekitu amemgeuzia kibao Mkasomali na kusema yeye ndiye alivunja kanuni kwanza (hakutaja zipi), ila kuhusu Mnyika amesema atalijibu baadaye ama siku atakayoona inafaa.

Kama na muhilili huu utabaki kimya kwenye huu mgogoro wa madaktari na serikali, basi itabidi wananchi tutumie nguvu ya UMMA.


Mnyika alipaswa kutoka nje pale pale alipotukanwa na muongoza bunge! CCM hawaitaji majibizano ni moto tu!
 
Siyo Chemba tu, bali bunge zima halina maana tena , siyo CCM siyo Chadema, wote nyanya nini wanachokifanya sasa. Wapishe vyama vingine wachangie

ni kweli mdau,hakuna mzungumzaj wa wananchi hapa,hao wooote wapuuzi tu,,,,sasa hilo bunge au geng la wahuni????aaargh
 
leo ndo unajua CUF ni mke wa kwanza wa ccm.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ukizaliwa tanzania, ukakulia tanzania ukasomea tanzania na ukafia tanzania wewe umepoteza muda wako...

Hii siyo mchango bali MATUSI KWA JAMII KUBWA YA WATZ ambao ndio walio wengi. Kama wewe umebahatika kupelekwa nje kifisadi au kwa kupewa ufadhili au msaada usije hapa ukatukana wenzako. Kuna waliozaliwa TZ, wakasoma TZ na kufanya kazi TZ wako vema mno hata kuliko waliokwenda huko usemako. Acha ushamba bwana mdogo!!!
 
Uongo mkubwa kwanini wangoje mpaka ijumaa na kwa nini hawaungi upinzani wanaposema swala la madaktari lijadiliwe hawana nyimbo hao wabunge wa CCM ni upuuzi mtupu
yani Hoja za Mnyika zinawasha mpaka wanamuita washa washa kama zile gari za FFU ZA WASHA WASHA,AUni kwakuwasha moto bungeni? kila kukicha?
 
Back
Top Bottom