Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
Siyo Chemba tu, bali bunge zima halina maana tena , siyo CCM siyo Chadema, wote nyanya nini wanachokifanya sasa. Wapishe vyama vingine wachangie
huna tofauti na chemba la maviMbona iliisha semwa bajeti ya upinzani ni kama bajeti ya harusi, mbona inajulikana mkuu. Na mh. mnyika aka Mh. Washwa washwa anazidi kuchemsha kwa kutojua kanuni, duh kweli washwa washwa ni janga la kitaifa
Watanzania tunajua nani wanatutetea bungeni
huna tofauti na chemba la mavi
huyo MTAMBO WA MAVI kaongea lipi la maanaMh. Mwigulu ni kiboko cha cdm kwa kweli, jamaa anawaendesha sana cdm anawapa mateso mabaya sana sana cdm bungeni
siyo chemba tu, bali bunge zima halina maana tena , siyo ccm siyo chadema, wote nyanya nini wanachokifanya sasa. Wapishe vyama vingine wachangie
Mwigulu anazidi kuchemsha mwana si riziki mwigulu bwabwa