Bungeni Live: Juni 3, 2012 [Morning Session]

Bungeni Live: Juni 3, 2012 [Morning Session]

Bunge letu sasa limegeuka uwanja wa vijembe na kutupiana lawama, nawasihi wabunge wafuate kilicho wapeleka Dodoma.

Wafuate kipi tena mkuu? Kwa sasa wanachokifanya ndo kilichowapeleka huko........
 
Nisha sema sana kwa sasa sio bunge ni kikao cha Harusi.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
jama mwenye video clip ya yaliyojiri jana bungeni, kwa maana nimetafuta you tube ila nimekwama, msaada please
 
Back
Top Bottom