Bungeni Live: Juni 3, 2012 [Morning Session]

Ni kwa kusema kuwa kambi ya upinzani na bajeti yao wanasema kuwa waalim wanafanya biashara shuleni muda wa vipindi,,
 
Ni kwa kusema kuwa kambi ya upinzani na bajeti yao wanasema kuwa waalim wanafanya biashara shuleni muda wa vipindi,,

Mbona iliisha semwa bajeti ya upinzani ni kama bajeti ya harusi, mbona inajulikana mkuu. Na mh. mnyika aka Mh. Washwa washwa anazidi kuchemsha kwa kutojua kanuni, duh kweli washwa washwa ni janga la kitaifa
 
huyu jamaa siuji kalogwa yeye na chadema tu, akuna anachofanya zaidi ya kukusoa chadema anamfanya mwenyekiti mapofu yanamtoka mdomoni hahahahha
 
nimeshangazwa sana na huyu mama kuongea huku akihema wakati akijaribu kumdhalilisha Mh mnyika!inaonyesha mama tangu maepigwa chini na jamaa mambo yake ni pupa pupa tu!
 
Mbona iliisha semwa bajeti ya upinzani ni kama bajeti ya harusi, mbona inajulikana mkuu. Na mh. mnyika aka Mh. Washwa washwa anazidi kuchemsha kwa kutojua kanuni, duh kweli washwa washwa ni janga la kitaifa
bwahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!:israel:
 
Kampongeza pia Mh Raisi Jakaya Kikwete kwa kumaliza mgogoro wa madaktari na kuongeza kuwa pamoja na juhudi hizo Chadema ndio walioandaa mgomo huo kwa sababu bado wanang'ang'ania swala la Madaktari lijadiliwe bungeni yeye haoni sababu kwa sababu madaktari wametii amri ya raisi

M'make.....Kaziba kama CCM nini nani katii amri?
 
kuna mbunge amemkosoa mwigulu kuhusu nukuu yake kwenye kitabu cha kambi ya upinzani, kuwa walimu wote wa primary wanafanya biashara mashuleni badala ya kufundisha ,mmbunge wa upinzani amemkosoa akamwmabia arudi shule tena darasa la kwanza , mnyika kamtoa nishai na kufuta kauli yake
 
Mwigulu hana hoja ya msingi zaidi kung'ang'ania upuuzi.

Sasa Mwigulu anakataa nini Wahadhiri hawafanyi kazi kwenye vyuo zaidi ya kimoja?? He's talking non sense. Ukweli uko wazi kwenye hilo suala?? Anataka kuudanganya Umma sehemu kwenye ukweli ulio wazi.!!!.
 
Back
Top Bottom