Bungeni Live: June 28, 2012

Bungeni Live: June 28, 2012

Hivi kumbe rais hakai hapa nchini eeh, karudi kutoka waapi tena?

Kama nimemsikia Pinda anasema rais amerudi Dar tokea Dodoma na ataitisha kikao cha baraza la usalama la taifa
 
Kutokana na kutekwa kwa watalii na kuuwawa, kukuta wahamiaji zaidi ya arobaini wakiwa wamekufa vilevile kutekwa kwa dr.Olimboka,
hivi hujui kama anaitwa Dr. Ulimboka, au mwenyewe unaona sawa kumwita olimboka.!
 
Walipanga hii move kabla Madaktari Bingwa Muhimbili kuadhimia kugoma. Wameweza kuwafukuza interns hao, je wataweza kuwafukuza Madaktari Bingwa? Tatizo lililopo sasa ni ugumu wa kuwagawa madaktari, na hii imekuwa ngumu zaidi kutokana na kitendo kilichomtokea Dr.Ulimboka. Kwasasa athari za mgomo huu ni mbaya kuliko wakati mwingine wowote. Tunaomba Mungu awape busara japo kidogo tu hawa watawala wetu ili wafanye maamuzi yatakayolinisuru Taifa.
 
Nimeshangazwa na maswali ya huyu mbunge kwa waziri mkuu! Eti anadai madaktari wanatumika na watu wanaowapatia fedha kuhamasisha mgomo ili nchi isitawalike.
Hivi huyu mbunge ni wa kuchaguliwa kihalali au ni wa viti maalum, na sasa anataka kubembeleza ukaribu kwa waliomchagua?

ccm ina kazi jamani

kuwatumikia wananchi na kuwasimamia vilaza dhaifu kama huyu MARTHA MLATA...NI KAZI SI MCHEZO.SASA KAMA MBUNGE ANAONGEA KITU KAMA HIKI BILA HATA USHAHIDI WA ANACHOKIONGEA INAKUWEJE.iNGEKUWA NI MPINZANI KASEMA HIVYO ...lukuvi angesimama,hakika angesimama....tunaelekea wapi TZANIA????????????????????????????????
 
Hata angetoa tamko bado asinge eleweka na kwanza hakua na chakusema so ajabu majibu yalikua ni hayo hayo ya kuwachukua ma Dr wastaafu.

Tuta subiria wakati wa ukombozi an hopefully it is nearly na siku ikifika labda muame nchi hii. TUMECHOKA NA VIONGOZI DHA I FU .Hata kutetea kitu kinacho onekana yanashindwa! !Puuuu
 
Jana kuna uzi nilichangia kuwa kama Pinda ana akili kidogo aliyobaki nayo basi leo asitoe kauli yoyote juu ya mgomo wa Drs. naona kama anaelekea kupokea huu ushauri.
Kuhusu Dr. Ulimboka, tusubiri uchunguzi wa kina wa polisi.
Mbowe anasema KCMC, Muhimbili, Mbeya na Bugando leo wamegoma rasmi, serikali mna hatua gani za dharula>
Pinda: Serikali imezungumza na vyombo mbalimbali kama Lugalo ili wagonjwa watumie huduma zao.
Retired Drs, na wale walio wizarani wameombwa warudi kazini ili wawahudumie wagonjwa.
Juhudi za kuongea na Drs wenye mgomo zinatakiwa ziendelee

Usitegemee Uchunguzi wa Polisi ya Mwema kuja na jipya zaidi ya Majambazi ndio waliohusika. Lini nyani kachukua panga kupunguza kia lake?
 
Nipo hapa MOI tangu juzi mgonjwa wetu aliandikiwa kufanyiwa upasuaji leo mchana, sasa hivi tunatoka kupewa taarifa kuwa haitowezekana kwa kuwa daktari mhusika hatokuwepo, na kuna tv hapa inayoonyesha bunge namsikiliza waziri mkuu, tumaini la mgonjwa wetu limepotea sijui tutafanyaje aaahh!!

pole sana mdau
 
Kwa hiyo hata waliomteka dk.ulimboka wanatumiwa ili nchi isitawalike ...kuliko kukosa akili ya kufikiri bora uwe kichaa .....ccm ni janga la afrika na dunia nzima.
 
Nipo hapa MOI tangu juzi mgonjwa wetu aliandikiwa kufanyiwa upasuaji leo mchana, sasa hivi tunatoka kupewa taarifa kuwa haitowezekana kwa kuwa daktari mhusika hatokuwepo, na kuna tv hapa inayoonyesha bunge namsikiliza waziri mkuu, tumaini la mgonjwa wetu limepotea sijui tutafanyaje aaahh!!

Tubebe wagonjwa wetu tupeleke IKULU kumuona rais Dhaifu
 
Majibu ya Pinda kwa swali la Mh. Lissu ni kwamba Pinda ame-prove kwamba yeye ni MJINGA
 
Jk kumtembelea dr ulimboka mchana huu......kama kawaida kutoa pole
Dr Ulimboka and the Family , Never ever shake handS with the President, never ever unless he come in the hospital holding hands with the hooligans who did the touchering ... !! If you do anything against this ... it will be a shame and betrayal to all Tanzanians with good will!!! ... Have a strong heart and just do as I have just told!! OK .. God will bless you HERE and BEYOND HERE( In HEAVEN !!!!)!!!
 
Back
Top Bottom