Bungeni Live: June 28, 2012

Bungeni Live: June 28, 2012

swali la mbowe limemchanganya sana...na ndio maana amesema hakuna kauli ya liwalo na liwe
 
Smart move....nimempa credit Pinda kidogo..nilikuwa nasubiri achemke tena na tamko lake tushinde hii vita kilaini! All in all, Serikali tamko itatoa tu...liwe negative au positive, watatoa...soon!
 
wameogopa kutoa kauli kwani itawashika pabaya
 
Hiyo kauli alisema jana! Au ndio kusema hafahamu alichokuwa anasema?
 
Katika kipinda cha maswali kwa waziri mkuu. Pinda amesema kuwa hawatarajii kutoa tamko leo. Anasema bado wanaruhusu majadiliano na madaktari lakini kwa hatua za dharura wanafikiria mpango wa kuwarudisha madaktari wastaafu kazini na kuwachukua wote ambao wapo wizara ya Afya.
 
Waziri mkuu dhaifu *12++++.binafsi yake kila kitu hakinashida.
 
Pinda dhaifu sana.

Ule msemo wake wa liwalo na liwe sasa tume ujua maana yake, ana jifanya mchamungu.
 
dhamira ya pinda inamsuta sana kwa kauli yake ya liwalo na liwe
 
Pinda ni Kiongozi dhaifu sana sijapata kuona!
 
Kwa mara nyingine tena asalimu amri kwa madaktari,ashindwa kuisimamia kauli yake ya LIWALO NA LIWE,ageuka kuwa kituko kwa madaktari na wagonjwa.
 
Huwezi amini lakini saa nyingine mbwa na na nguruwe huwa na akili kuliko binadamu...
 
Back
Top Bottom