Bungeni Live: June 28, 2012

Bungeni Live: June 28, 2012

Mh.Shymar Kweygir amwaga machozi Bungeni kuwalilia walemavu wenzie wa ngozi kwa kuuliwa na watuhumiwa kutokamatwa ili hali tembo aliyeuwawa porini watuhumiwa wamepatikana.
 
Mh.Shymar Kweygir amwaga machozi Bungeni kuwalilia walemavu wenzie wa ngozi kwa kuuliwa na watuhumiwa kutokamatwa ili hali tembo aliyeuwawa porini watuhumiwa wamepatikana.

Huku akikataa kuunga mkono hoja sauti yao ni hafifu sana mbele ya hawa wababe
 
kwa kweli inatia huruma sana kuona jinsi walemvu wa ngozi wanavyouwawa bila watuhumiwa kukamatwa. Poleni sana
 
kuuliwa Mzungu Serengeti...kesho yake Mawaziri wawili mbio kwa helikopta...ndugu zetu Walemavu wa ngozi wameuawa wangapi??Inatia uchungu sana
 
kuwakamata itakuwamo shida coz wauwaji wamo mumo humo bungeni.....
 
Hiyo heading ilitakiwa iwe "Mh.Kweygir: Serikali inaona muhimu kuwasaka wauwaji wa tembo kwa bidii kuliko wauwaji wa Albino?"
 
Nini kinaendelea wakuu, TBC taifa wameshakata matangazo muda
 
Duh! kama kweli ni mwadilifu basi aachie ngazi!


Na kweli lazima aresign kabisa ---- Nafikiri upo upo tuu kama robot he does not know what his role is as Waziri Mkuu. He is being used by the System kama BULL DOSER jamani.
-------------------------

A leader has the vision and conviction that a dream can be achieved.
He inspires the power and energy to get it done.
Ralph Laurene
 
huo utoto wa mkulima na misifa ya uadilifu mnayompa ndo mtajua kama ni kweli hizo sifa ni zake au wizi mtupu.
 
I dont know......i feel very stressed out:disapointed:
It has been like this for the past 2 years, sijui cha kuchangia anymore. i guess it has to do with what has been going in my dear country, kwani daktari wa akili nao wamegoma?
 
Suala hapa si kujiuzulu ndugu zangu. Hapa ni kwa seriakali kuwa na uwezo kifedha ilik kuwalipa Wafanyakazi wake(wakiwemo Madaktari) vizuri, ijenge hospitali,zahanati zenye madawa na vifaa vingine vya tiba...Swali serikali itapata wapi pesa hizo??? IPANUE WIGO WA WALIPA KODI si kung'ang'ania tu BIA,SODA na SIMU,,, je wabunge wenyewe wanakatwa kodi kwenye mishahara/posho zao? Wasanii wanatozwa kodi kutokana na kipato chao? Kupunguza misamaha ya kodi, kuondoa posho zisizoeleweka mfano "sitting allowance" HAPO NDIPO TUTAKUWA NA SERIKALI THABITI YENYE MAAMUZI tuking'ang'ania kubadilisha Waziri MKuu tutabadilisha kila siku but tutakuwa hatujatatua tatizo. Hivi Utalii, madini, bandari,ardhi yenye rutuba,nito,maziwa,bahari MUNGU atupe nini jamani?TUMEKOSA KIONGOZI MWENYE MAONO TU but rasilimali na watu tunaz(o)
 
Selikali haina Jeuri ya kuwafukuza kazi Madaktari,,
Na mimi ninayo hofu kubwa sana kuhusu Haya maamuzi ambayo Bwana Mwinyi ambaye Habari ya Mabomu kule kaacha kiporo na Watu hawajalipwa fidia zao na wengine kawatelekeza kule Mabwepande kuharibu kabisa Badala ya kujenga kama alivyo fanya kwenye mkasa wa Mabomu

Kuhusu Leseni pia hawana Jeuri hiyo...
mimi napenda kuwapa Big up Madaktari wagome mpaka kieleweke wamezoea kuwatishia waalimu, sasa Mbabe wao kapatikana, na wakiwafukuza Fungueni Hospital Bubu... nyie Ma proffessional kwanza kenya na nchi zingine munahitajika kweli... Endeleeni wamezidi kulala waamuke
 
serikali sikivu itatatua tatizo hili soon
 
Ritz mbona sikuhizi mbili umebadilika sana naona umeshaichoka hii serikali

Ameshasoma alama za nyakati, ameona huku tonakoelekea siko, afu isitoshe ana HOFU KUU, si unajua "dadi" akitoka pale mjengoni tutaanza kudili nae jino kwa jino.... In short ajiandae....
 
Back
Top Bottom