Bungeni Live: June 28, 2012

LISU: Mheshimiwa waziri Mkuu, If you have done your Best and have failed why Dont you resign?

SPIKA: Lissu hilo swali linajirudia mheshimiwa waziri mkuu usijibu

PM: Lissu hiyo siyo ligha nzuri ya kuongea na waziri mkuu.
 
Waziri mkuu Mizengo Pinda amesema kuwa serikali yake imeamua kutotoa tamko lake ambalo iliahidi bungeni jana baada ya kupata taarifa kuwa madaktari bado wanaendelea na mgomo.
Pinda ameyasema hayo baada ya kuulizwa swali na mkuu wa kambi rasmi bungeni mh Mbowe wakati wa maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu bungeni.

Pinda amesema kuwa madaktari hawata chukuliwa hatua yoyote ya kufukuzwa kwa madaktari kufuatiwa na mgomo wao.

Aidha Pinda amesema serikali imeamua kutafuta muafaka kwa kuwacjukua madaktari wa ugalo na wa staafu wote popote walipo ili kuendelea na matibabu kwa wananchi wote nchi.

Nawasilisha
 
sio ulivyofahamu ila ndivyo alivyosema yeye......wewe na yeye dhaifu na ovyo sana
 
Habari toka jikoni zinasema kuwa Waziri wa afya bwana Hussein Mwinyi kutoa kauli ambayo ina ujumbe huu.

Wote watakao Goma kufukuzwa kazi kuanzia leo na wataweka daftari la kujiandikisha na kusaini.

Viongozi wote wa migomo kusimamishwa kazi na ikiwezekana kufutwa kazi na ikiwezekana kunyang'wanywa leseni.

Kutofanya shughuri yoyote katika maeneo ya hospitali.

Watakao kubali kufanya kazi kulindwa na askari.

UPDATES

Dodoma Interns 11 watimuliwa katika mafunzo ya vitendo kwa sababu ya mgomo

Kazi ipo!
 
hivi kweli huyu wazri ni kuu.???yaani wanaotuhuhumiwa ndio wanasubuliwa watoe taarifa ya uchunguzi wa tuhuma zao.kweli mjinga ni mjinga tu.
 
Waziri mkuu mizengo pinda ameogopa kutoa tamko la serikali juu ya mgomo wa madaktari akidai ameshauriwa na vyombo fulani sijui ni vp hivo,ila ukweli wa mambo ni kutokana na suala la kuumizwa Kwa ndugu dr.ulimboka stephen,hakuna liwalo na liwe ni dhaifu tu.
 
Serikali Dhaifu,Mwaziri mkuu dhaifu,spika dhaifu, Raisi dhaifu na hata wananchi ni dhaifu kwa sababu tutaonewa na bado tumenyamaza.
 
kali ya inda ni kwamba ''hakuna tamko lolote toka wa serikali juu ya mgomo''
 
Hii sentensi yake ya "Liwalo na Liwe"....imemweka pabaya sana waziri mkuu!
 
Wale ambao wataendelea kugoma hawatalindwa na polisi? kwani kazi ya polisi si kulinda raia na mali zao..

nashangaa sana hii kauli!

Ina maana watawatafuta wawa limboke.
 
Kwanza wizara ya AFYA irudishwe TANZANIA BARA, Aliyetoa kauli hausiki jana PM alisema serikali itatoa kauli leo huyo alisema ni nani?? Hajui KAMANDA wetu alipigwa ametoa kauli yeyote ya kuwalaani waliohusika na jaribio la kutaka kumua ULIMBOKA? Kama yuko TZ bara angejua? Tuna subiri kauli ya PM...... "LIWALO NA LIWE.....****'
 
Eti anasema kuna watu wanawapa ma doctor pesa ili wagome! Waziri mkuu nae anasema eti ata yeye anasikia huo uvumi. Hii serikali ya ccm ni JANGWA!
 
Wazee wa dar wajiandae sasa walio mbali warudi, maana wataitwa ili serikali itoe tamko kama kawa kupitia kwao.... Nasikia kizunguzungu sana na serikali hii
 
Pinda, kauli ya lolote na liwe alioitoa juu ya Mgomo wa Madaktari Alimaanisha kwa vile kesi
ipo Mahakamani na kwa kuheshimu muhimili wa dola. Yani Mahakama. Serikali haipaswi
kutoa kauli au kusemea shauri lililopo Mahakamani. Lakini kwa vile wanao athirika ni
wananchi na wanakufa. Hivyo lOLOTE NA LIWE serikali italisemea na kama itakua imeingilia
Mahakama, LOLOTE NA LIWE,

wale wale walioteka Ulimboka.
 
Back
Top Bottom