Jana kuna uzi nilichangia kuwa kama Pinda ana akili kidogo aliyobaki nayo basi leo asitoe kauli yoyote juu ya mgomo wa Drs. naona kama anaelekea kupokea huu ushauri.
Kuhusu Dr. Ulimboka, tusubiri uchunguzi wa kina wa polisi.
Mbowe anasema KCMC, Muhimbili, Mbeya na Bugando leo wamegoma rasmi, serikali mna hatua gani za dharula>
Pinda: Serikali imezungumza na vyombo mbalimbali kama Lugalo ili wagonjwa watumie huduma zao.
Retired Drs, na wale walio wizarani wameombwa warudi kazini ili wawahudumie wagonjwa.
Juhudi za kuongea na Drs wenye mgomo zinatakiwa ziendelee