Mimi sio mchadema, naomba CV ya Lusinde....mchadema huna CV ya wabunge zako?
Mimi sio mchadema, naomba CV ya Lusinde....
Kuna haja ya huyu mtu kuelimishwa maana ya chama cha upinzani ni nini na majukumu yake ni yepi!Mbunge wa mtera Livingstone Lusinde, amechafua hali ya hewa kwa kusema hakuna upinza ambao unaweza kuiwajibisha serikali, sababu hawa jipya. Pia ametaka wapinzani washinikize Mbowe ajiuzulu kwa kukubali kutumia gari la serikali wakati mwanzoni alilikataa.
Huyu jamaa huwa hana link na mabo anayoyaongea na uhalisia wa sasa.
mkuu unamaanisha Mwigulu na Lusinde? hata mimi hao watu wananichanganya sana, loh! huyu first degree economics na huyu first degree kibajaji ila wote naona ni fisrt degree pumba + matusi.Kwani kuna tofauti yoyote ya alichoongea Lusinde na Lusinde?? Wapinzani wanaonewa bwana....
Tume ya katiba bwana, mimi nimeomba cv ya Lusinde. Kwani ni mjumbe wa CDM?? Naona huna msaada ngoja nisubiri kwa member wengine wenye kuifahamu cv yake watanipatia.Waombe CDM ambao amekuwa mjumbe wa halmashauri kuu yao kwa mudamrefu.
Tume ya katiba bwana, mimi nimeomba cv ya Lusinde. Kwani ni mjumbe wa CDM?? Naona huna msaada ngoja nisubiri kwa member wengine wenye kuifahamu cv yake watanipatia.
Asante sana...
Amwambia bajeti si lazima ichambuliwe na wachumi
​Katika mchango wake katika bajeti ya Serikali, Mhe Mbatia amegusia suala moja ambalo kwakweli lina utata sana.
Taasisi ya Aghakan nchini ina mkataba na serikali wa kutolipa kodi zote (zero tax) nchini kwa sababu kwamba wanatoa huduma za elimu na afya kwa watanzania masikini kwa ghafama nafuu...
umesomeka mtu mzima!
Ndungai ni dictator. simpendi kabisa
Mkuu umesahau sera za CCM? Mojawapo ni hii ya kutokomeza njaa kwa wananchi.
Neno gani sahihi kutumia badala ya dhaifu maana majuzi aliitwa legelege...Ndugai siyo dictator, bali kanuni za bunge ndo zinazodictate wabunge! yeye katumia kanuni vizuri. La msingi ni kwamba pamoja na kutumia kanuni, bado ujumbe ulishafika kwa watanzania kwamba rais jk ni mdhaifu kwenye maamuzi. ameshindwa kuongoza Tanzania!
Neno gani sahihi kutumia badala ya dhaifu maana majuzi aliitwa legelege...