Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

Hivi ingekuwa kupiga kura za siri si mambo yalishamalizika hii kuitana majina kama shule za msingi ni bunge gani duniani wanatumia mfumo huu wa kijima! au ile spika ana hoji umoja wanaoafiki waeme ndio wanaokataa waseme waseme hapana wanaofika wameshinda!! maprofessor madokta wanasheria mainjinia na wachumi na watu wa profession mbalimbali wamejaa bungeni wanakubali huu upuuzi! ??
 
Mturano absent
Mtutura ndio
Mukya hapana
Mushashu absent
Mwaiposa ndio
Mwambalaswa ndio
Mwanjale ndio
Mwanjelwa ndio
Mwatuka hapana
Mwidau hapana
Mwijage ndio
Nassari HAPANA
Ndasa ndio
Ndesamburo absent
 
Kuna ma nasikia makofi ila sisikii Ndio au hapana hii inamaanisha nini ni kwamba wapo wanakaa kupiga.au vipi.
 
Hatimaye shibuda apiga kura ya ndio wakati wenzao wa chadema wote wamesema "hapana" hii manake nn!?
 
faustin ndio
Ngeleja ndio
Ngonyani absent
Ahmed Ngwali hapana
Mkamia ndio
Said Nkumba ndio
Lucy Nkya absent
Obama Ndio
Ntukamazina ndio
Nundu ndio
Nyabakari ndio
Ole sendeka ndio
 
Huyu Juma Mkamia si yule kilaza aliyekuwa RTD? Ningeshangaa angesema Hapana.
 
shibuda tena? ulitarajia kipi? JK ni DHAIFU, CCM ni UPUUZI, wabunge NI WAJINGA, na SHIBUDA ni VUVUZELA.
 
Mturano absent
Mtutura ndio
Mukya hapana
Mushashu absent
Mwaiposa ndio
Mwambalaswa ndio
Mwanjale ndio
Mwanjelwa ndio
Mwatuka hapana
Mwidau hapana
Mwijage ndio
Nassari HAPANA
Ndasa ndio
Ndesamburo absent

We tofautisha absent na silent. ndesamburo yupo silent yaani anakuwa neutral hapingi wala kukubali
 
Back
Top Bottom