Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

Wana JF hivi ni sawa kupiga kura kwa kuitana kwa majina. Kweli demokrasia inatumika hapo. Katika karne hii ya saa bunge la Tanganyika linaloendelea uko Dodoma wanapiga kura kwa kuitana majina ili kupitisha bajeti ya fedha. Bunge linaogopa nn au linaficha nn kupiga kura kwa siri
 
wanaudh sana hawa,,,mtu wazir lakin hana update zozote juu ya wizara yake,,,,,,,,washenz tu hao,,,

inahitaji wananchi wafanye mabadiliko......hawa wazee wa ndio hawafai, hawajui makali ya maisha..... Hapo hujagusa ada za watoto, unaweza ukazimia.....
 
leo wanafiki watajulikana tu.....
Wengine walikuwa wanapiga kelele kupinga ila hapa tutaona kama watakubali.....

Cheyo kapiga kura ya ndio....
Mrema oyeeeeee kapiga hapana kwa mara ya kwanza kwikwikwikwikwiiiii
Umemesikia Hamis Kigwagala...
 
Kiwelu hapana
Koka Ndio
Komba absent
kombo hapana
Komu hapana
leiza ndio
likokola ndio
limbu absent
 
Shibuda: Ndiyoooooooooooooooooooooooo

watu wanapiga pa pa pa pa pa pa .......................................

HONGERA SHIBUDA.
 
Shibuda kasema ndiyooooooooooooooooooooooooooooooo................
 
bajeti hii inapita maana machizi wengi wa ccm wanasema NDIYO ila nimesikitika kuwa mbunge wangu FILIKUNJOMBE hawakuwepo kusema NO to this budget,
 
Magige ndio
Mahige ndio
Faki Haji Makame ndio
Kilango ndio
Mala HAPANA
malochu ndio
 
Back
Top Bottom