Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

James Mbatia

KIKWETE ...... HAPANAAAAAAAAAAAA
 
Mbilinyi na Filikunjombe wengine waliotaraji kusema hapana, inakuwaje mnakosa kuwepo Bungeni.........let down hiyo
 
Meghji ndio
mfutakamba absent
subra khamis ndio
mhita absent
misanga ndio
mkapa ndio
mkono ndio
mkosamali absent
Mkullo ndio
mlaki ndio
mlata ndio
rebeka hapana
mnyaa hapana
 
ukiangalia idadi kubwa ya wabunge wanaonekana kuikubali bajeti hii mbovu,so huenda ikapita na kuongeza ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida na kunufaisha wachache.
 
shibuda mwamba wa kanda ya ziwa usukumanh anawakilisha vyema wasukuma
 
kama kawaida shobuda kauza timu kwa kuitikia ndiooooo na mbatia kamgeuka kikwete hapanaaaaa
 
Mpina apo amekataa au amekubali wajameni sijasikia
 
hawa wabunge mbona wanaact sivyo?????? vurugu gani hizi? Halafu hawa wabunge ambao hawapo wanataka tuwaeleweje????
 
khamid rashid mohd absent
Luhanga absent
Mponda ndio
msabaha hapana
msolla ndio
Said Mtanda NDIIIIOOOOOOOOO
Mteketa ndio
Mtemvu ndio
 
Back
Top Bottom