Bunge Litii Mahakama; Lisipotii Nani Aitii Basi?

Bunge Litii Mahakama; Lisipotii Nani Aitii Basi?

you mean the Mario Puzo's character? If the assignment is tabled on Ighondu's table, you will be a fly on fire

Ighondu does not have the wherewithal to swim with the sharks like I do.

He has to win a gamenof 3D underwater chess while swimming with sharks without being eaten alive first.
 
Kinyago ukichonge mwenyewe halafu ukiogope? mahakama kitu gani?
 
Ngoja nikafungue kesi mahakamani kuwa kwanini Kikwete ahadi zake nyingi hazijatekelezwa na muda wake unaisha? nataka niweke zuio asisafiri nje ya nchi mpaka ahadi zake ziwe zimetimia kwa 90%
 
Wanaoendeshwa na mihemko watampinga MWANAKIJIJI.ila ninaamini yuko sahihi 100%.
kinachonisikitisha, hawa mafisadi wamekuwa very smart to the extent that mihimili yetu inaingia kwenye msigano mkubwa. Ukweli ulio wazi ni kwamba MAHAKAMA NI CHOMBO PEKEE CHA KUTOA HAKI NA KINAFANYA SHUGHULI ZAKE KWA KUTUMIA SHERIA ZINAZOTUNGWA NA BUNGE.... hivyo basi, BUNGE KAMA CHOMBO CHA KUTUNGA SHERIA, KINATAKIWA KUWA MFANO HALISI WA JINSI YA KUTII AMRI ZA MAHAKAMA.
kwa mihemko ya wabunge na wadau, haya yote yanaweza yasionekane kama ni muhimu, lakini yataweka rekodi mbaya sana katika UTII WA HUKUMU ZA MAHAKAMA.
lakini pamoja na huu ukweli mchungu, bado kuna haja ya bunge kuonyesha nguvu zake haswa katika mambo yenye maslahi ya usalama wa taifa.

Una habari kwamba mahakama iliwahi kufanya kazi hadi saa nane usiku ili kuzuia mgomo wa walimu?

Una habari kuwa mahakama ilimtosa Kubenea kuhusu bunge la katiba na pia ilimtosa Mtikira ishu ya mgombea binafsi kwa kuogopa serikali?

Kuna kila dalili kuwa mahakama imeshinikizwa, hata Jaji Agustino Ramadhani aliwahi kusema kuhusu mahakama kushinikizwa na serikali. Hii ya IPTL shinikizo limetoka aliko Baba yake Miraj Kikwete
 
That much is obvious to cooler heads.

I would like to see the president impeached subsequently. Even if there are not enough votes, the mere process of voting on this motion would send tremors along the corridors of power in an unprecedented way.

.. Watanzania Watazungukaa wee .. JIBU CHUNGU SANA NDIO HILI.
 
mahakama ndo chombo cha juu kabisa cha kutoa haki.

Bunge wanatoa haki au wanajadili kilichopo mezani? Acheni uogo nyie wabongo. Shule zenu zinawafundisha kuwa waoga hata kutafsiri hamjui.
 
1. Mzee Mwanakijiji uko sawa umeongea fact tupu ila kuna watu wanapinga kwa blah blah tu.
2. Kwa mjibu wa Zungu mwenyekiti wa bunge wa leo kipindi cha jioni mida ya saa mbili kuelekea kuahirishwa kwa shughuli za bunge amesema hadi sasa hawajapokea taarifa rasmi kutoka mahakama yoyote iwe ya ndani au nje ya nchi ikitoa zuio kuhusu mjadala wa Tegeta Escrow
 
Last edited by a moderator:
Safari hii Mahakama isubiri bunge limalize kazi yake ndio waendelee na kesi.
 
Mahakama ya tanzania ni dubwana lililotengenezwa kisheria kupora haki za wanyonge dhidi ya watawala.
Imejaa na inanuka rushwa kila iliko. Tuna imani na bunge mara mia zaidi ya hawa wavaa majoho wanaoitwa majaji.
Ni mayuda Iskariote yanayotoa hukumu huku dhamira zikikataana na kauli zao.
Bunge endeleeni na mjadala kama ulivyopangwa nasi raia tumeazimu kupuuza hukumu za kihuni za mahakama zeti.
.
 
Mzee Mwanakijiji wataoelewa ni wale wanaofatilia mijadala ya humu kwa muda mrefu.Nimekuelewa .......mbaya zaidi sina karama ya ualimu ya kuwafanya wengine wakuelewe .........
Kama mwenzetu umemuelewa, hebu tusaidie reconcile anachokisema MzeeMwanaijiji na hiyo sehemu ya katiba ambayo watu wameiweka humu maana naona yeye kaamua kujificha!
 
mzee mm unaheshimika sn ktk maandiko yako ila heshima yako inapolomoka kwa kukubali kutumikia mafisadi. andiko lako halina mantiki yeyote tofauti na kutetea mafisadi na huu sio uandishi wako
 
1. Mzee Mwanakijiji uko sawa umeongea fact tupu ila kuna watu wanapinga kwa blah blah tu.
2. Kwa mjibu wa Zungu mwenyekiti wa bunge wa leo kipindi cha jioni mida ya saa mbili kuelekea kuahirishwa kwa shughuli za bunge amesema hadi sasa hawajapokea taarifa rasmi kutoka mahakama yoyote iwe ya ndani au nje ya nchi ikitoa zuio kuhusu mjadala wa Tegeta Escrow

Achana na Zungu, hiyo ni subjectivity. Objectivity ni kutueleza sheria ya kinga na mamlaka ya bunge inasemaje? Doctrine of separation of power inasimamaje? Sio suala la nani kasema
 
Last edited by a moderator:
Mwanakijiji nikuulize tu maswali haya; Bunge letu lipo huru? Mahakama zetu zipo huru? au nivyombo tu vipo kukamilisha masharti yakuonekana tunademokrasia? Mimi sijashangaa kilichotokea maana nilitegemea haya kutokea. Ungejua sikuizi haki inapangwa (negotiated) mahakamani? Nikuulize Nikweli Bunge linafanya kazi yake yakikatiba yakuiwajibisha Serikali (making it accountable on behalf of the people? Art. 8)
 
inawezejana upo sawa ila je tufanye nini pale tunapohisi kuwa hata baadhi ya majaji wamehusika katika kupiga hilo dili? je kama hao majaji wamepiga stop huo mjadala ila kuzinusuru nafsi zao kwa maana nao nao pia wanahusika? mjadala uendelee tu au waziri mkuu ajiuzulu leo kabla ya kesho

hata mimi hapa nina wasiwasi sana kuhusiana na hili. hii maana yake ni kwamba majaji wanajilinda na wanaweza kuchelewesha hukumu ya kesi hata kwa miaka 50 hadi hii skandali ya escrow iishie hewani. hatuwezi kukubali wezi wajihukumu wao wenyewe kwa kuwa nao wanahusika kuchota fedha za escrow.
 
Ni kweli jukumu la kutoa haki na kuadhibu limetolewa kwa mahakama. Shida ni kuamini katika "limitlessness", kila jambo lazima liwe na mipaka na ieleweke. Mahakama haikuwa ku-challange kanuni za Bunge kuhuzu mazuio yanayoweza kuombwa na outside entinties. Bunge lina kanuni inayozuia kuhojiwa kwa mambo yanayotokea ndani yake. Katika taratibu hizo haiko wazi kuhusu limits, scope na hata exceptions!!

Sishangai haya kutokea kwani ni mara kadhaa maneno kama "kesi iko mahakamani, tusiingilie" yametolewa Bungeni. Lakini ni katika mantiki ya kwamba kesi tayari inaendelea na mjadala unaweza ukaathiri utoaji haki. Kwa kesi hii ya PAP/IPTL, walalamikaji wanataka kuzuia kujadiliwa kwa jambo lililotolewa uamuzi (kwa madai yao). Ni ngumu kuona kwa mtazamo wa kisheria ni wapi haki ya walalamikaji inaminywa kwa jambo ambalo lilikwishaamriwa in their favour!! Haki pekee waliyonayo ni kukata rufaa iwapo serikali itafungua kesi kutaka pesa zirejeshwe. Haki yao si kuzuia jambo lisizungumzwe tena na chombo cha kutunga sheria!!

Tujiulize kwa wepesi:
a) Mwanafunzi aliyezuiwa kufanya mtihani wa mwisho anaweza kwenda mahakamani kuzuia taifa zima lisifanye mtihani siku moja kabla ya kuanza na ikawa hivo?
b) Rai wa Tanzania anaweza kwenda mahakamani akidai mambo yanayomhusu yasizungumziwe na watawala wake?
c) Tuliona uamuzi wa Mahakama hukusu kesi ya kusimamisha Bunge la Katiba. Eti ni jambo la kisiasa, hili je??
 
Back
Top Bottom