Mbunge wa Vunjo mh.Mrema ameunga mkono kauli ya katibu wa bunge,Dr.Thomasi Kashilila kuwa bunge lisionyshwe moja kwa moja wakati vikao vya bunge vikiendelea.
Mh.Mrema amesema hivi sasa bunge linatia aibu na hivyo ni bora kulidhibiti.Mh.Mrema alikuwa anaoa maoni yake alipokuws anahojiwa na gazeti la mwananchi la leo ambalo liliwahoji watu mbali mbali kupta maoni yao juu ya kauli ya katibu wa bunge.Wengi wamepinga kauli hiyo akiwemo mh.Mnyika na prof.Ibrahimu Lipumba.
Source:Mwananchi online.

Jamaa anapenda kulala huyooooo, yaani bunge lisipoonyeshwa live, lazima atakuwa akiingia na kigodoro, shuka, blanketi na viroba viwili vya konyagi ili vichoche usingizi. Halafu nasikia viroba vya konyagi na wagonjwa wa kisukari wanapatana mno
... kumbe yeye ana sababu tofauti kabisa na za kashilila, lakini anajifanya kuunga mkono hoja.Anaogopa kuonekana akitokwa na udenda.
Ni kweli hutaki kuchangia au Kumjadili,Mwenyekiti wetu, ila ukweli utabaki tu kuwa huyu Mzee pamoja na kuumwa Sukari, lakini bado anauguwa ugonjwa KIRUSICCM!!Mmmmh sina comment....wadau mnamuua sana mwenyekiti mwacheni hawe anapumzika jamani.
Mbunge wa Vunjo mh.Mrema ameunga mkono kauli ya katibu wa bunge,Dr.Thomasi Kashilila kuwa bunge lisionyshwe moja kwa moja wakati vikao vya bunge vikiendelea.
Mh.Mrema amesema hivi sasa bunge linatia aibu na hivyo ni bora kulidhibiti.Mh.Mrema alikuwa anaoa maoni yake alipokuws anahojiwa na gazeti la mwananchi la leo ambalo liliwahoji watu mbali mbali kupta maoni yao juu ya kauli ya katibu wa bunge.Wengi wamepinga kauli hiyo akiwemo mh.Mnyika na prof.Ibrahimu Lipumba.
Source:Mwananchi online.
mbunge wa vunjo mh.mrema ameunga mkono kauli ya katibu wa bunge,dr.thomasi kashilila kuwa bunge lisionyshwe moja kwa moja wakati vikao vya bunge vikiendelea.
Mh.mrema amesema hivi sasa bunge linatia aibu na hivyo ni bora kulidhibiti.mh.mrema alikuwa anaoa maoni yake alipokuws anahojiwa na gazeti la mwananchi la leo ambalo liliwahoji watu mbali mbali kupta maoni yao juu ya kauli ya katibu wa bunge.wengi wamepinga kauli hiyo akiwemo mh.mnyika na prof.ibrahimu lipumba.
Source:mwananchi online.