Mi nafikiri cha msingi tuanzishe utaratibu wa kukusanya saini zetu ambazo tutaanda na muhtasari wa vikao vyetu na kuandamana nchi nzima mpaka ikulu na kumalizia Dodoma mjengoni kuung'oa utawala wa kisultani wa mama Makinda,tumechoka hatuhitaji kuchezewa akili na kufanywa wanasesere
Kusaini itachukua muda mrefu,dawa ni Watanzania wote kutoka mitaani kama nchi za kiarabu wanavyofanya,siku mbili tu kila kitu kiko wazi mbona