Bunge Lisionyeshwe LIVE - Wabunge!

Bunge Lisionyeshwe LIVE - Wabunge!

Kwa anayefahamu......Tunaomba majina ya wabunge waliowasilisha hoja........

Hakika kama ni kweli basi hii nchi itakuwa haina uwazi wala ukweli,na hapa sasa ndipo mbunge makini atatoka kwenye kikao cha bunge na kukataa posho kwa kudai haki ya wananchi ya kupata habari kwani bado kunawananchi hawana access na magazeti wala redio.
 
Huku tuendako twahitaji Maombi na Maombezi

Hiz n dalili kuwa wananch kuona bunge,lingehamasisha zaid watu sehemu mbalmbal za nch kudai haki zao.siamin kama kuna tatizo la kiufund kwan vyombo hiv vimekuwa vikirusha watangazo hata viwanja vya waz,njian,sasa iweje leo vishindwe?himaya inaanguka.
 
Vipi wanataka waanze kufanya mapenzi mjengoni. Km wataamua hivyo basi Spika na walala usingizi wana mpango wa kupigana busu.
 
Spika wa Bunge amesema kuwa baadhi ya wabunge wanaandaa hoja ya kuzuia vipindi vya Bunge kuonyeshwa LIVE kwa wananchi!
Ninavyochukulia: Huku ni kulewa Madaraka!...Wanataka wachape usingizi bila kuhojiwa na wapiga kura hawa!

CHANZO: Gazeti la Mtanzania leo 13/08/2012
spika wa bunge asiwasingizie wabunge huo ni mpango wa serikali ya magamba
 
CCM wanajua watanzania wameamka sasa wanaona aibu kuendelea kuumbuliwa na wapinzani,washazoea kulindana sasa wasubiri 2015
 
Kuna kitu gani wana mpango wa kukificha? Hivi tunawezaje kugomea mpango huu ikiwa ni wa kweli?
 
Wadau,
Kwa kwa session za bunge zilizopita dullonet walikuwa wanaonesha live bunge kupitia internet ila kwa sasa hawaoneshi, kama kuna mtu anafahamu link nyingine aidha ya audio au video ya kusikiliza bunge live naomba aiweke hapa ili na sisi wa maofisn walau tusikilize ktk laptop zetu.

Asante sana
 
Poleni sana mliokuwa mnaitegemea Dullonet katika kipindi hiki cha Bunge, lakini kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo wetu hatujaweza kuweka live kwa siku hizi tatu, lakini tuko katika mchakato wa kurudisha huduma hiyo na mungu akipenda wiki ijayo mambo yote yatakuwa safi na tutawahabarisha jinsi ya kutupata, Poleni sana na tunashukuru kwa kuthamini mchango wetu.

Dullo
 
Kumbukumbu zangu zinaonyesha wabunge WENYEWE walishadai hawataki kurushwa hewani? Isijekuwa ndo wanatii matakwa ya wahishimiwa.
 
Poleni sana mliokuwa mnaitegemea Dullonet katika kipindi hiki cha Bunge, lakini kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo wetu hatujaweza kuweka live kwa siku hizi tatu, lakini tuko katika mchakato wa kurudisha huduma hiyo na mungu akipenda wiki ijayo mambo yote yatakuwa safi na tutawahabarisha jinsi ya kutupata, Poleni sana na tunashukuru kwa kuthamini mchango wetu.

Dullo

Asante kwa ufanunuzi, niwekee hapa namba yako ya cm nikuulize zaidi
 
Tunawasubiri kwa hamu sana wabunge kama hao wanaokusudia kuminya HAKI YA WANANCHI KUPOKEA TAARIFA JUU YA WACHAGULIWA WAO nini wanachokifanya pindi wawapo kazini kama ambavyo walivyoomba wenyewe tuwape nafasi hizo kupitia kura zetu - Mhe Spika, wananchi tuko hapa nje na tunasubiri sana kujua ni akina wabunge gani hao wanaokusudia kuleta uchuro kama huo wenye kusudio la kuzuia UWAZI kwetu.

Back
Top Bottom