Bunge Lisionyeshwe LIVE - Wabunge!

Bunge Lisionyeshwe LIVE - Wabunge!

Waruhusiwe walale ili tujue kwamba kazi imewashinda namimi ningeomba sana itungwe sheria ya kwamba atakaye sinzia bungeni atolewe nje siku hiyo na msimamizi wa hiyo sheria awe mbunge wa chama pinzani
 
lakuvunda halina ubani,bado wanaendeleza cinema za govinda?

RIP Tanzagiza.
 
Jamaa wamepima kina cha maji na kuona kulionyesha live inawasogeza harakaharaka kwenye kaburi!
 
Spika wa Bunge amesema kuwa baadhi ya wabunge wanaandaa hoja ya kuzuia vipindi vya Bunge kuonyeshwa LIVE kwa wananchi!
Ninavyochukulia: Huku ni kulewa Madaraka!...Wanataka wachape usingizi bila kuhojiwa na wapiga kura hawa!

CHANZO: Gazeti la Mtanzania leo 13/08/2012

Mi nafikiri cha msingi tuanzishe utaratibu wa kukusanya saini zetu ambazo tutaanda na muhtasari wa vikao vyetu na kuandamana nchi nzima mpaka ikulu na kumalizia Dodoma mjengoni kuung'oa utawala wa kisultani wa mama Makinda,tumechoka hatuhitaji kuchezewa akili na kufanywa wanasesere
 
Ama kweli nchi hii, yaani wanataka wajiwakilishe wenyewe, kwanini wasitunge sheria ya kutaka wabunge wa upinzani wasiongee? Kwa kuwa ndio wanaoleta kelo kwa bunge. Wote wenye haki ya kupiga kura washiriki kuwawajibisha hawa ccm. Yaani tusijue namna wanavyotumbua hela yetu kwa kujadili utumbo?
 
KENYA WENZAO WAMEWEKA DEBATE ZA MARAIS LIVE itakuwa bunge!! stupid leadership, pathetic!
 
Washenzi wanataka wamlize kipindi chao kwa ulaini bila kuhojiwa....Nguvu ya umma ni lazima iingilie kati hapa...Nincompoops!
 
Mi nafikiri cha msingi tuanzishe utaratibu wa kukusanya saini zetu ambazo tutaanda na muhtasari wa vikao vyetu na kuandamana nchi nzima mpaka ikulu na kumalizia Dodoma mjengoni kuung'oa utawala wa kisultani wa mama Makinda,tumechoka hatuhitaji kuchezewa akili na kufanywa wanasesere
Natafuta legislation ya wananchi juu ya Bunge lao...Powers za raia ni za kiwango gani towards Bunge?
 
Mbunge wa Vunjo mh.Mrema ameunga mkono kauli ya katibu wa bunge,Dr.Thomasi Kashilila kuwa bunge lisionyshwe moja kwa moja wakati vikao vya bunge vikiendelea.

Mh.Mrema amesema hivi sasa bunge linatia aibu na hivyo ni bora kulidhibiti.Mh.Mrema alikuwa anaoa maoni yake alipokuws anahojiwa na gazeti la mwananchi la leo ambalo liliwahoji watu mbali mbali kupta maoni yao juu ya kauli ya katibu wa bunge.Wengi wamepinga kauli hiyo akiwemo mh.Mnyika na prof.Ibrahimu Lipumba.

Source:Mwananchi online.
 
Mzee anazeeka vibaya. Yaani akili ya analogi inataka kutawala akili ya digitali " akili ndogo kutawala akili kubwa"

Mbunge wa Vunjo mh.Mrema ameunga mkono kauli ya katibu wa bunge,Dr.Thomasi Kashilila kuwa bunge lisionyshwe moja kwa moja wakati vikao vya bunge vikiendelea.

Mh.Mrema amesema hivi sasa bunge linatia aibu na hivyo ni bora kulidhibiti.Mh.Mrema alikuwa anaoa maoni yake alipokuws anahojiwa na gazeti la mwananchi la leo ambalo liliwahoji watu mbali mbali kupta maoni yao juu ya kauli ya katibu wa bunge.Wengi wamepinga kauli hiyo akiwemo mh.Mnyika na prof.Ibrahimu Lipumba.

Source:Mwananchi online.
 
Anajishehua tu, mbona leo kenye magazeti Bunge limetoa taarifa na kusema kuwa Bunge litaonyeshwa, bali wanataka kuweka special Camera na pia kuna mpango wa kuanzisha TV ya Bunge, na wamesema Dr. Kashililia alikuwa mis-quoted!.
 
Jamaa anapenda kulala huyooooo, yaani bunge lisipoonyeshwa live, lazima atakuwa akiingia na kigodoro, shuka, blanketi na viroba viwili vya konyagi ili vichoche usingizi. Halafu nasikia viroba vya konyagi na wagonjwa wa kisukari wanapatana mno
Mbunge wa Vunjo mh.Mrema ameunga mkono kauli ya katibu wa bunge,Dr.Thomasi Kashilila kuwa bunge lisionyshwe moja kwa moja wakati vikao vya bunge vikiendelea.

Mh.Mrema amesema hivi sasa bunge linatia aibu na hivyo ni bora kulidhibiti.Mh.Mrema alikuwa anaoa maoni yake alipokuws anahojiwa na gazeti la mwananchi la leo ambalo liliwahoji watu mbali mbali kupta maoni yao juu ya kauli ya katibu wa bunge.Wengi wamepinga kauli hiyo akiwemo mh.Mnyika na prof.Ibrahimu Lipumba.

Source:Mwananchi online.
 
Hicho kidingi kinazeeka vibaya, kinajigonga sana kwa magamba kwani hata huo ubunge wamempa wao.
 
Mbunge wa Vunjo mh.Mrema ameunga mkono kauli ya katibu wa bunge,Dr.Thomasi Kashilila kuwa bunge lisionyshwe moja kwa moja wakati vikao vya bunge vikiendelea.

Mh.Mrema amesema hivi sasa bunge linatia aibu na hivyo ni bora kulidhibiti.Mh.Mrema alikuwa anaoa maoni yake alipokuws anahojiwa na gazeti la mwananchi la leo ambalo liliwahoji watu mbali mbali kupta maoni yao juu ya kauli ya katibu wa bunge.Wengi wamepinga kauli hiyo akiwemo mh.Mnyika na prof.Ibrahimu Lipumba.

Source:Mwananchi online.

Kwani yeye anaathirika nini wakati huwa hachangii hata kidogo kwa sababu hana points za kuchangia? Huu unafiki mwingine, Umepitiliza. Labda anaona aibu wananchi wake. hawamwoni akichangia.
 
Eti ni kweli mtu mzima akizeeka hu act kama mtoto mdogo? Leo nimewackiliza vizuri sana watu wa media bungeni katika Star Tv asbh,trust me ile kauli ya kashilila ilikuwa ni kutorusha kabisa matangazo ya bunge Live ila haya jamaa wakawa anatetea eti hakusema ivo tumemuelewa vibaya,kuna mchungaji mmoja akauliza,Je mnataka kuficha yanayotokea bungeni kwa manufaa ya nani? Hilo jibu nilitamani kuzima tv.Watu wanavyeo vikubwa bungeni ila hawajui kujieleza nakujibu changamoto zinazowakabili!
 
Back
Top Bottom