Bunge Lisionyeshwe LIVE - Wabunge!

Bunge Lisionyeshwe LIVE - Wabunge!

Mbunge ambaye kila kinachosemwa na serikali anaona ni sahihi unategemea atasema nini?
 
Mbunge wa Vunjo mh.Mrema ameunga mkono kauli ya katibu wa bunge,Dr.Thomasi Kashilila kuwa bunge lisionyshwe moja kwa moja wakati vikao vya bunge vikiendelea.

Mh.Mrema amesema hivi sasa bunge linatia aibu na hivyo ni bora kulidhibiti.Mh.Mrema alikuwa anaoa maoni yake alipokuws anahojiwa na gazeti la mwananchi la leo ambalo liliwahoji watu mbali mbali kupta maoni yao juu ya kauli ya katibu wa bunge.Wengi wamepinga kauli hiyo akiwemo mh.Mnyika na prof.Ibrahimu Lipumba.

Source:Mwananchi online.


Mzee wa kiraracha naye ni walewaleeeeeeeeeeeeeeeeee!

Mrema kwa sasa ni choka mbaya maana hawezi tu hata ile kusimama na kuchangia kila dakika ni kuuchapa usingizi kwa sana Bungeni. Hana jinsi mzee wa watu lazima akubaliane na zuio la kurusha matangazo ya TV live maana lazima akiumbuka kila siku asije akaukosa Ubunge 2015!!!
 
Live coverage imemfana apoteze umaarufu mazima mazima
 
Unafiki wa Mrema ulianzia hapa, siku ile Kikwete apoapishwa kwa ushindi wa kura za wizi!

mrema%2Bna%2Bjk.JPG
 
Kulidhibiti bunge ni kutoonyesha runingani au ndio kuendeleza yanayoendelea? Mrema huwa ni bingwa wa kulala, hana jipya na anajua harudi tena kuomba kura uchaguzi ujao na pia yeye ni CCM nani hajui hilo? unaetegemea angesema nini? hana jipya
 
Mungu saidia tufike salama 2015, manake huko Vunjo nao wameshaipata jote ya ukweli!
 
Ina maana kwa mtazamo wake kuondoa hiyo aibu ya bunge anayoisema ni kwa kutoonyeshwa live? Kazi kweli kweli!!!
 
(KUTOKA KWENYE WALL YA DC WA MVOMERO (CCM) Anthony Mtaka



NITAMSHANGAA MBUNGE ATAKAE-KUBALIANA NA HOJA YA KUVIONDOA VIPINDI VYA BUNGE LIVE KWA SABABU MUFILISI KAMA ALIZOZITOA KATIBU WA BUNGE!!-"MTU MWENYE AKILI,AKIKUPA MAWAZO YA KIPUMBAVU NA WEWE UNA AKILI,USIPOYAKATAA ANAKUDHARAU"-By JK.NYERERE-NANI KASEMA TUNATAKA KUHARIRIWA VIPINDI VYA BUNGE??NANI KASEMA HAPATI MDA WA KITAZAMA AU KUSIKILIZA BUNGE??MAWAZO HAYA NI KIELELEZO CHA UBUTU WA FIKRA,SERIKALI YA CCM,IMEFUNGUA MILANGO KWA VYOMBO VYA HABARI NCHINI,HATA KUANZA MCHAKATO WA KUFANYA HABARI KUWA MHIMILI WA NNE NCHINI,NI UWENDAWAZIMU MTU KUHITAJI UDHIBITI WA BUNGE KWA KUZUIA KUPNEKANA LIVE!!!NARUDIA NI UWENDAWAZIMU !!!!!

KUTOKA TANURU LA FIKRA(FACEBOOK0 MH.Julius Kalanga -DIWANI WA CCM WILAYA YA MONDULI

WABUNGE NI WAWAKILISHI WETU.KM HATURUHUSIWI TENA KUWAONA WANACHOJADILI TAFSIRI YAKE NI. HII.
labda hawatuwakilishi sisi bali matakwa yao na wale wanaowasiikiliza .
au wanachojadili hakina tija. wala maslahi kwa umma bali wao na familia zao
au
bunge hili lina tia aibu na hivyo wanaona aibu km mtu aliye uchi.na hivyo lzma ajifiche kwa kuchuchuma.

Mtazamo wangu
sio hiari ya spika wala wabunge wenye wala awaye yote kutuonyesha au kuto kuonyesha bunge.BALI NI kwa matakwa ya wale yaan umma uliowapeleka bunge vinginevyo mnataka kusahau mmetokana na nn n mnasimamia maslahi ya nani.
Pili njia pekeee ya kutokuonyesha bunge ni wabunge kujiuzulu ubunge na chombo hicho kufutwa kabisaa na
maadam bado niny ni wabunge ni lazima tuwaone mnacho jadili sisi tuliowapa dhamana TUTAPIMA PUMBA NA MCHELE.
Tatu haikupaswa na tena ni aibu sana kujaribu tu kusema eti bunge lisionyeshwe.
Hili la sisi kuona mnachofanya sio HISANI YA MTU.
kuchuchuma hakuondelei aibu bali ni kujivika nguo ili kusitiri mwili wako.

Kila mpenda nchi yake hawezi kuunga mkono upuuzi huu wa kipuuzi.


KATIKA HILI WAMETELEZA CCM KAMA MKAKATI NI KUDHIBITI VYAMA VYA UPINZANI.

SWALI HUYU MZEE WA CCM ANAWEHUKA SAIZI,HUWA ANAELEWA ANACHOZUNGUMZA??? AU ANAZUNGUMZA LOLOTE LILE LINALOKUJA MDOMONI??JE ANAFIKIRI KATIKA HILI ADHABU YA WANANCHI KWA SERIKALI YA CCM ITAKUWA NINI NINI 2015????


 
Shame on him! Hataki aonekane akiuchapa usingizi huku akichukua posho ambazo ni kodi za Watanzania pamoja na wale kule KIraracha.
 
"Aiseee baba yang, kweli wasituonyeshe laif, sisi tukishakunywa beke lasima tusinsie.

Sasa mkionyesha laif wale wapika kura wangu kule kilua funjo wataniona nisinsia, aaa baba angu wasionyese kabisa...."


View attachment 83244


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Anajishehua tu, mbona leo kenye magazeti Bunge limetoa taarifa na kusema kuwa Bunge litaonyeshwa, bali wanataka kuweka special Camera na pia kuna mpango wa kuanzisha TV ya Bunge, na wamesema Dr. Kashililia alikuwa mus-quoted!.

Kutoonyesha bunge sio ukomo wa vurugu ingawa mimi sijaona chochote ya hicho kinachoitwa vurugu bali uzushi mtupu. Mtu afanye vurugu halafu asiadhibiwe hizo kanuni za kinyonyaji za bunge letu zimelala? Muundo wa mabunge yote duniani zimeandaliwa na freemasons zikiwa na lengo moja tu nalo ni kumkandamiza mtu mnyonge. Hebu jiulize kwanini hakuna kanuni zinazoupa upinzani nguvu bungeni kama vile kupitisha azimio lolote kwa nusu ya wabunge wa upinzani na nusu ya wabunge wanaotawala. Si angalau lingesaidia kutambua mchango wa upande wa pili? sasa tusiyashangae hayo kwa kuwa lolote la kumjanjarusha mnyonge ni hasara ya walioshiba.
 
Wabunge kama Lyatonga na Wasira kwao ni faida lisiporushwa live ni mabingwa wa kulala usingizi bungeni
Mbunge wa Vunjo
mh.Mrema ameunga mkono kauli ya katibu wa bunge,Dr.Thomasi Kashilila
kuwa bunge lisionyshwe moja kwa moja wakati vikao vya bunge vikiendelea.

Mh.Mrema amesema hivi sasa bunge linatia aibu na hivyo ni bora
kulidhibiti.Mh.Mrema alikuwa anaoa maoni yake alipokuws anahojiwa na
gazeti la mwananchi la leo ambalo liliwahoji watu mbali mbali kupta
maoni yao juu ya kauli ya katibu wa bunge.Wengi wamepinga kauli hiyo
akiwemo mh.Mnyika na prof.Ibrahimu Lipumba.

Source:Mwananchi online.
 
Mbunge wa Vunjo mh.Mrema ameunga mkono kauli ya katibu wa bunge,Dr.Thomasi Kashilila kuwa bunge lisionyshwe moja kwa moja wakati vikao vya bunge vikiendelea.

Mh.Mrema amesema hivi sasa bunge linatia aibu na hivyo ni bora kulidhibiti.Mh.Mrema alikuwa anaoa maoni yake alipokuws anahojiwa na gazeti la mwananchi la leo ambalo liliwahoji watu mbali mbali kupta maoni yao juu ya kauli ya katibu wa bunge.Wengi wamepinga kauli hiyo akiwemo mh.Mnyika na prof.Ibrahimu Lipumba.

Source:Mwananchi online.

Si Mrema tu, uliza Wassira na mwenzie Komba kama majibu yatakuwa na tofauti na mzee wa Kiraracha. Timu ya mbonji ndani ya bunge.
 
Huyo mzee wa kirarancha na shibuda hawana tofauti..wao lao ni moja tu..hawataki mabadiliko..vichwa vyao vimejaaa uccm tu
 
Hao wabunge watakuwa wamerogwa na mchawi wao atakuwa amekufa! Ni upuuzi usiwe na mfano kuzuia mijadala kuonyeshwa laivu na hizo ni akili za ajabu kabisa. Only insane people can do that!
Spika wa Bunge amesema kuwa baadhi ya wabunge wanaandaa hoja ya kuzuia vipindi vya Bunge kuonyeshwa LIVE kwa wananchi!
Ninavyochukulia: Huku ni kulewa Madaraka!...Wanataka wachape usingizi bila kuhojiwa na wapiga kura hawa!

CHANZO: Gazeti la Mtanzania leo 13/08/2012
 
Mbunge wa Vunjo mh.Mrema ameunga mkono kauli ya katibu wa bunge,Dr.Thomasi Kashilila kuwa bunge lisionyshwe moja kwa moja wakati vikao vya bunge vikiendelea.

Mh.Mrema amesema hivi sasa bunge linatia aibu na hivyo ni bora kulidhibiti.Mh.Mrema alikuwa anaoa maoni yake alipokuws anahojiwa na gazeti la mwananchi la leo ambalo liliwahoji watu mbali mbali kupta maoni yao juu ya kauli ya katibu wa bunge.Wengi wamepinga kauli hiyo akiwemo mh.Mnyika na prof.Ibrahimu Lipumba.

Source:Mwananchi online.

Haya ni mambo ya PERSONAl INTERESTS, bila Live broadcasting watanzania wangejuaje kama aliuchapa hadi kutokwa na UDENDA akiwa bungeni? Aende zake huko, watanzania wanalipia hiyo Live bradcasting. Kwa nini wasiulize mteja anayelipia hiyo Live broadcasting (Watanzania thru KODI) kama bado anahitaji hiyo huduma kuliko kufanya maamuzi kwa niaba ya mteja?
 
Back
Top Bottom