Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
We si umesema bukoba hakuna majengo hayo .shida mnaibeza sana na kupaponda bk sana hasa watu wakilimanjaro ndo maana tumeamua kuwaonesha bukoba halisi inayokua kwa kasi na kupanuka haraka .hilo jengo ni nyumba ya kuishi ya Anna tibaijuka ambayo aliijenga kwa heshima ya Mme wake aliyazaliwa hapo kibeta mlimani na wanaishi ndugu wa Mme wake
kwenu ndio kunakucha cc kwetu kulishakucha zaman sana mkuu
yan tunawachora tu
 
Ni sawa ni moshi airport lakin huwez ulinganisha na huo wa bk kwa idadi ya ndege zinazoingia na kutoka
Sasa huo unaweza linganisha na wa bukoba?.hivi kwa nini mkulu ametoa billion tisa zitumike kuupanua uwanja wa bk ili upokee ndege zaidi maana abiria ni wengi fuatilia hotuba yake ya Nov 7 pale airport. Mimi ninaongea kwa ushahidi
 
Kwa mijengo its over bk iko juu hiyo ni ihungo estate na ujenzi unaendelea
9e5a0fe4d02fcac9efb743b71e97214b.jpg
d45a3e9a274f80289dcd9589b0349201.jpg
34535384dd0ecd102ba7d98fccce188f.jpg
614b029f60e9eb574d702b04d31d8345.jpg
8b2c8b174ae743d9c7bd20dc7fd7a31c.jpg
e24637b0a91c62be994796b1275572ef.jpg
moshi mpo na bado nawakusanyia picha za bk
Duuh we mkali umetuwekea hadi picha za ujenzi wa shule
 
Kumbe ndo maana moshi haibadiliki na inakaa hivyo na majengo makongwe
Hata uingereza ina majengo yaliyojengwa mika 100 na yanatunika mpka leo na bado yana mvuto.. Old town hazi vinjwi.. Na moshi nayo ina maeneo mapaya yanayo inuka ... Sasa habiadiliki kivip??
 
Duuh we mkali umetuwekea hadi picha za ujenzi wa shule
Shule kama hiyo haipo bongo nzima.nitajie shule gani tz yenye maghorofa 10 na froor NNE tz .juzi waziri amekataza isije ikawa chuo .na kuna nyumba zaidi ya 30 za walimu hapo
 
Moshi ina mbuga ya wanyama??? Kuna watu mmelewa kabisa! Moshi hakuna mbuga za wanyama, zipo wilaya zingine za Kilimanjaro. Huu uzi ni "Bukoba" na sio Kagera vs "Moshi" sio Kilimanjaro! Tulieni mpigwe hivyo hivyo
Wachaga wanapenda kiki kama bwana yule, kifupi Moshi is overrated, ukitoa uoto wa asili na weather ni pakawaida tu
 
Mkuu Mbona umefika mbali sana .....!!?

Take it easy
Mkuu utakufa cku siyo zako....na Mungu alivyo waajabu sasa intermarriage kati ya wachaga na wahaya ni kubwa mno.....haswa wanaume wakihaya wanawagonga na kuwaoa wachagga kama hawana akiri nzuri... ...fanya kautafiti ka twaweza juu ya hili utapata jibu....

Pole sana mkuu kwa chuki binafsi...
 
Utakuwa umeninukuu vibaya.....
 
Mkuu utakufa cku siyo zako....na Mungu alivyo waajabu sasa intermarriage kati ya wachaga na wahaya ni kubwa mno.....haswa wanaume wakihaya wanawagonga na kuwaoa wachagga kama hawana akiri nzuri... ...fanya kautafiti ka twaweza juu ya hili utapata jibu....

Pole sana mkuu kwa chuki binafsi...
Sio yeye aliyesema hivyo msamehe
 
Mkuu utakufa cku siyo zako....na Mungu alivyo waajabu sasa intermarriage kati ya wachaga na wahaya ni kubwa mno.....haswa wanaume wakihaya wanawagonga na kuwaoa wachagga kama hawana akiri nzuri... ...fanya kautafiti ka twaweza juu ya hili utapata jibu....

Pole sana mkuu kwa chuki binafsi...
Naitakuwa chuki binafsi kwa kizazi chagu chote .. I got nothing to loss but trash and humiliations from damn people
 
Naitakuwa chuki binafsi kwa kizazi chagu chote .. I got nothing to loss but trash and humiliations from damn people
Mkuu mhaya alikukimbiza darasani nini? Au Dada yako alipigwa katerero? Maana una jaziba kweli na wahaya
 
Naitakuwa chuki binafsi kwa kizazi chagu chote .. I got nothing to loss but trash and humiliations from damn people
Utakuwa punguwani mkuu.....huwezi mpangia binti yako moyo wake kudodokea kwa handsome wa kinshomilee.... Nakwambia hivi atagongwa mti na mimba juu nshomile stamtundika....

Mark my words....na Mwenyezi Mungu alivyo waajabu ,jiandae kisaikolojia wakwe zako wote watakuwa wahaya..

Kama nakuona vile ,unavyopeana mikono na waume za binti zako kutoka uhayani...
 
Mkuu mhaya alikukimbiza darasani nini? Au Dada yako alipigwa katerero? Maana una jaziba kweli na wahaya
Nashukuru nimefanikiwa kuzui mdogo wangu wakiume kuingiza mwanamke wakihaya katika ukoo wetu.. Na mahari nika mwambia, awaachie na asigeuke nyuma, na nika mrudishia hela yote aliyo gharamikia hadi kumvisha pete atafute binti kabila lolote lakini siyo muhaya ... Kinyaaa muhaya ni haya wani wa akili na mwehu wa mahisha .. Ukio mhaya kwanza ni kuleta umasikini na majigambo ya kipumbavu.... Ful stop.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom