Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
OK hii ni bukoba aiport
53e917907847c8a2104d4c528d602ea1.jpg
47a3c6818a1dca70ed67aed2ef946db4.jpg
691e96dbc2a7d6e02ca67943cf3eb26d.jpg
7516f4972c9fce5f072d3e7fe3ae6fa8.jpg
8efe421ec625973fd1f5b12232bf4175.jpg
c2efbd4a004f5f6984d7f0becd6f5097.jpg
0aadf1872346c23ac7af7885eb0d7371.jpg
0b55d30017d372b854f8843ff2d03b37.jpg
b05c99c5ce1993bc13db278753d9eaef.jpg
magufuli amashaanza mchakato wa kuipanua zaidi ifikie km 2 ili jengo la wasafiri linalopokea watu laki 5 kwa mwaka sawa na terminal 1 ya jkIA liweze kutumika ipasavyo na ndege kubwa ziweze kutua pale kisa wingi wa wasafiri wanaoelekea bukoba.na pia kashozi road itaamishiwa migera ili upanuzi ufanyike watu walishaanza kuhamishwa
MBONA KAMA BAR YA MASSAWE TOFAUTI NI HAYO MAANDISHI YA BUKOBA AIRPORT
 
Picha zenyew bk ni za kurudia rudia tu mara lile sijuu ni kanisa limewekwa mara 39 na majengo ambayo hayajaisha na vile vilodge anasema hotel wtf. Mbaya zaidi umejipanga kuanza kuzunguka ili urudi kubishana wakati picha zilishawekwa kitambo ukashindwa linganisha unarudi na zile zile. Kijiji cha alex massawe kibosho tu kinatosha kulinganisha na bk na chenchi ikabaki period
 
Picha zenyew bk ni za kurudia rudia tu mara lile sijuu ni kanisa limewekwa mara 39 na majengo ambayo hayajaisha na vile vilodge anasema hotel wtf. Mbaya zaidi umejipanga kuanza kuzunguka ili urudi kubishana wakati picha zilishawekwa kitambo ukashindwa linganisha unarudi na zile zile. Kijiji cha alex massawe kibosho tu kinatosha kulinganisha na bk na chenchi ikabaki period
nilishamwambia yaan ana post vi lodge anasema at n hotel
yaan wanajifariji hawajui maana ya hotel
waende pale keys hotel,aishi hotel,snow view hotel,kindoroko nk wajue maana ya hotel
 
Kweli kabisa mtani yaani huyu jamaa ameamua tu kujitoa ufahamu wake.......

Mimi ni mpare lakini moyo wangu uko Moshi......

Kuna sehemu panaitwa kituo cha afya....lazima siku moja nifanye maamuzi magumu ya kuhamia hapo moja kwa moja.......
asante mtani alafu hapa tumesema wachaga tu je tukiunganisha na nyie wapare kwa maana ya mkoa wa KLM kagera itachukua miaka 60 kitufkia
 
asAnte mkuu kwa kumuumbua
aliweka ka picha ka banda LA chai at ndio mamsera haijiiu mamsera huyu
kaz yao sifa tu wakat mkoa wao n watatu kwa umaskin
Mamsera ilinganishwe na bunazi ya misenyi
9260450e16287ade995df0dd11d23dd5.jpg
misenyi bunazi hiyo
 
kumbuka hapo hilo jengo alilo post lipo rombo tena eneo LA mamsera na sio moshi
kama rombo tu: IPO hivyo,tukiweka picha za moshi c mtazimia? ndoo maana tumeamua kuwasitir tukianza kuweka za moshi mtaukimbia huu uzi
Hebu na Mimi niweke la bunazi misenyi
a4ab919f7ab3a2f9cadd6fb7589cc23d.jpg
 
Aliyekwambia kwambia bukoba hakuna vyuo nani.bkb INA vyuo vinne carumuco, jocuco, karuko,na open .mji wa bukoba una hospital tatu kubwa ya mkoa,ya wilaya na moja ya binafsi,moshi labda wakiongeza vijiji vinavyoibana moshi ambavyo hakuna mji wakati bk hilo eneo limejengwa lote .acha kusema tu weka picha tuyaone hayo maghorofa unayoyasema
Naenda Moshi, la sivyo wakimaliza kusalimiana wakaanza kupiga picha January 1, 2018 utashinda unang'aa macho kucheck mapicha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom