Yaani bwa mdogo unachekesha! Yaani unaona Morogoro inaizidi Bukoba???? Au unadanganywa na kuwa karibu na DarBukoba na moshi ni miji tofauti sana. Fananisha Bukoba, musoma, kigoma, sumbawanga, songea, shinyanga, singida. Fananisha Moshi, Morogoro, dodoma, Iringa. Then Njombe, Babati, Geita, Mpanda, lindi. Halafu Dar, Mwanza, mbeya, arusha, Tanga. Kwa mlinganyo huu Sawa. Moshi ni manispaa inayoelekea kuwa jiji wakati Bukoba ni manispaa ambayo bado ina harufu ya halmashauri ya mji.

Ok mkuu, ngoja niende huko nikavinjari, kiwanja cha kuchangamka ni kipi hapo?Sipo bk naishi mwanza city ila bk naifahamu vizr sana
Kuna coffee tree inn,pk top hills hotel kama unapenda milima na perfect na BCD Stella maris,kolping hotels,kyanyi resolt,elct,q bar,kilitime,smart,na beach kama kiroyera, bunena,Miami,na kabuhara na pia kuna Lina's, na Casanova na liquid lounge nk nitachoka kuzitaja zoteOk mkuu, ngoja niende huko nikavinjari, kiwanja cha kuchangamka ni kipi hapo?
Wanarudia picha zilezile na zingine za arusha na iringa eti ni moshi moshi padogo sana mkichokonoa nitawaletea vilima vya bk 70 % ya mji hapa sijaviletaYaani hizo picha za Moshi wanazoonesha sehem chache wanazirudia rudia ndo mnasema Moshi panaizidi Bk?
Moshi ina mbuga ya wanyama??? Kuna watu mmelewa kabisa! Moshi hakuna mbuga za wanyama, zipo wilaya zingine za Kilimanjaro. Huu uzi ni "Bukoba" na sio Kagera vs "Moshi" sio Kilimanjaro! Tulieni mpigwe hivyo hivyoMoshi katika picha![]()
![]()
Kama mlikua hamjui pia Moshi kuna mbuga ya wanyama![]()
![]()
![]()
Amazing
Asante kiongoziKuna coffee tree inn,pk top hills hotel kama unapenda milima na perfect na BCD Stella maris,kolping hotels,kyanyi resolt,elct,q bar,kilitime,smart,na beach kama kiroyera, bunena,Miami,na kabuhara na pia kuna Lina's, na Casanova na liquid lounge nk nitachoka kuzitaja zote
Kama unaifahamu Moro vizuri na bukoba huwezi fananisha huo uchafu wa bukoba na Moro au moshi, bukoba linganisha na kigoma,TABORA,Shinyanga na maraBukoba tenabugabo house
rwabizi plaza
kaitaba stadium
bukoba miembeni![]()
buyekera bukoba
nyakanyasi
mkoani![]()
kilimahewa![]()
Maneno hayasaidii na Mimi naweza kusema chato inaizidi dar kwa maneno tu leta picha mbona picha za moshi hamleti mkileta mnaleta vijiji na wilaya nyingine au hata miji mingine kama mwanza, arusha, iringa nk hata picha hamna.nakwambia na ushaidi naleta wa picha bukoba inaigalagaxa moshiKama unaifahamu Moro vizuri na bukoba huwezi fananisha huo uchafu wa bukoba na Moro au moshi, bukoba linganisha na kigoma,TABORA,Shinyanga na mara
Hujui usemalo na bukoba unaisikia tu redioni .nilishasema siku nyingi wachaga siku hizi MNA majivuno mengi sana na matusi mengi bukoba ingekuwa haina kitu ingehitaji meli kubwa zenye uwezo wa kubeba watu 3000 zote wa kuelekea huko INA maana wanaenda kufanya nini wakati moshi mabasi hata watu miatano hawafiki kwa siku ikizingatiwa na bukoba mabasi yapo
Habu niachane na wewe eti bukoba inaitegemea mwanza wakati mwanza penyewe mbali.mwanza ndo inaitegemea bukoba kwa chakula kama ndizi,sukari,majani na bidhaa nyingi kutoka mtukula.b tena ukija kuangalia bk INA uhusiano mkubwa na mtukula mji wa biashara,masaka,mbarara na miji kama Kigali kuliko mwanza maana ni karibu mfano toka mtukula hadi bk 3000 tu na ktk Kampala 10000 wakati mwanza 20000.pia huo mzunguko uliopo wa meli na mabasi huwezi ona mzungujo wa hela uliopa hasa bandari za bk na kemondo.yaani bk sehemu changamfu sana ni bandari,stendi,rwamishenye kwa sababu ya utransit wake,kashai na mwaloni bila kusahau mjini kati.watu wataokuja kwa meli watahitaji daladala,kula ,kulala nk hivyo vyote ufanya mzunguko wa hela kuwa mkubwa tofauti na moshi isiyo na bandariBK ni majanga tu, uzuri ni kwamba hata wewe mwenyewe unajuwa hili. Hiyo idadi ya watu wapandao meli kutoka BK kwenda Mwanza ni kwa ajili ya kutafuta mahitaji na kujiuza kwani Mwanza ndiyo mji mkubwa kwa kanda ya ziwa.....hata kusafisha picha (negative kipindi kile) ilibidi mpiga picha mpaka aipeleke Mwanza kwanza kuoshwa. Mahitaji yote makubwa mpaka Mwanza, jiji la Bukoba limekaa kihasara sana, tofauti kabisa na majivuno ya wahaya wa Mwananyamala, Tandale, Sinza, Makaburi ya Kinondoni, Uwanja wa Fisi. Ni hasara tupu.
ingia web ya tra uangalie kati ya mishi na bukoba n IPI inachangia hela nyingi kwa maana y GDP then urd hapaHabu niachane na wewe eti bukoba inaitegemea mwanza wakati mwanza penyewe mbali.mwanza ndo inaitegemea bukoba kwa chakula kama ndizi,sukari,majani na bidhaa nyingi kutoka mtukula.b tena ukija kuangalia bk INA uhusiano mkubwa na mtukula mji wa biashara,masaka,mbarara na miji kama Kigali kuliko mwanza maana ni karibu mfano toka mtukula hadi bk 3000 tu na ktk Kampala 10000 wakati mwanza 20000.pia huo mzunguko uliopo wa meli na mabasi huwezi ona mzungujo wa hela uliopa hasa bandari za bk na kemondo.yaani bk sehemu changamfu sana ni bandari,stendi,rwamishenye kwa sababu ya utransit wake,kashai na mwaloni bila kusahau mjini kati.watu wataokuja kwa meli watahitaji daladala,kula ,kulala nk hivyo vyote ufanya mzunguko wa hela kuwa mkubwa tofauti na moshi isiyo na bandari