Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
1487870703352.jpg
1487870724189.jpg
 
Kwa kweli wala sijui kwa nn mnapoteza muda kujadili Moshi na Bukoba...huku ni kutafuta umaarufu kupitia social media...Sasa Bokoba si sawa na Labda mji wa Njombe? Moshi linganisha na Mbeya...tanga...iringa....Moro..na Dom. Tuwe wakweli
 
Duuu mpaka leo huu uzi mnaujadili mbona Moshi ipo juu hata rutashobya anajua
 
Hata mademu wazuri moshi ipo juu Moshi kuna madem wazuri kuliko bukoba.
 
Mkuu mimi kwetu kiasili ni Bukoba, lakini ukweli ni kwamba huwezi linganisha moshi na Bukoba maana Bukoba kumedorora wahaya hatuna tabia ya kuendeleza mji wetu.
Kuanzia stand, soko kuu hata barabara za bukoba rami kama vumbi tofauti na moshi.
Kila project inayoletwa kuendeleza bukoba inakumbana na majungu kuanzia project ya kujenga upya soko na kuhamisha stand kuu basi mji umebaki upo upo tu kiasi kwamba watu wakifika bukoba uwa wanashangaa hivi wahaya tunavyojitapa kumbe kwetu pako vile...
 
Kwa hzi picha Game is over..wahaya wote twendeni tukalae

Kilimanjaro international airport
20968469_143386759587149_493994451052527616_n.jpg.jpg

NSSF commercial building
7cecb2bc7a6be6b3c2e618d20878efac.jpg
 
Acheni upumbavu...bukoba uchafu gani kwa moshi...sema wilaya yoyote vijijini kwa moshi

carnte himself
 
Mkuu mimi kwetu kiasili ni Bukoba, lakini ukweli ni kwamba huwezi linganisha moshi na Bukoba maana Bukoba kumedorora wahaya hatuna tabia ya kuendeleza mji wetu.
Kuanzia stand, soko kuu hata barabara za bukoba rami kama vumbi tofauti na moshi.
Kila project inayoletwa kuendeleza bukoba inakumbana na majungu kuanzia project ya kujenga upya soko na kuhamisha stand kuu basi mji umebaki upo upo tu kiasi kwamba watu wakifika bukoba uwa wanashangaa hivi wahaya tunavyojitapa kumbe kwetu pako vile...
Siku hizi kunajengwa stendi mpya mbona picha hizi hapa na soko utaratibu unafanywa kuhamisha watu kutoka humo na lingine linajengwa
 
Bukoba hakuna kitu....senene tu wamejaa na watu kujichekea peke yao mitaani.
Hujui usemalo na bukoba unaisikia tu redioni .nilishasema siku nyingi wachaga siku hizi MNA majivuno mengi sana na matusi mengi bukoba ingekuwa haina kitu ingehitaji meli kubwa zenye uwezo wa kubeba watu 3000 zote wa kuelekea huko INA maana wanaenda kufanya nini wakati moshi mabasi hata watu miatano hawafiki kwa siku ikizingatiwa na bukoba mabasi yapo
 
Acheni upumbavu...bukoba uchafu gani kwa moshi...sema wilaya yoyote vijijini kwa moshi

carnte himself
Unaivyosema moshi kama vile ulaya wakati inagalagazwa na kahama tu pamekanda sana bukoba mbona inachangamka mno ukiongeza na sifa za wahaya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom