KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,758
- 39,493
Wanakera sana... Mijitu hai tulii ikapambana na hali zao kila siku kushambulia wachaga na kudharau makabila mengine... Bure kabisa...
Hii ni ishara kuwa Kilimanjaro ipo juu.....mti wenye matunda matamu daima hupigwa mawe......
Wapare oyeeeeeee
Wachagaaa oyeeeeeee.......
Kilimanjaro oyeeeeeee.....
