The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
Mkuu wnaanzishaga wenyewe hizi nyuzi za kutuponda alaf zinawageuka kupiga porojo tu. Siku nyingine wajifunze adabu sio kuparamia watu hovyo [emoji23]Nina imani umeandikabhaya umejishika kiuno kwa nyodo. Maana mshakuwa mashangingi kwa maneno. Picha walaaaaa.