Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Simu zenyewe zenye Camera, wanazo walivyo wabairi. Wanaingia kwenye Jamii Forum Kwa laptop za kuazima. Ubairi sana na ndio Maana Kilimanjaro inaitwa mkoa wa wagumu
Mkuu kama unataka kufa na njaa, kaanzishe bihashara kilimanjaro! Kwanza kujua tu kwamba we si mchagga hawaji kununua kwako mwishowe unafirisika na kurudi kwenu
 
Ila sifa hizo zinatangaza bukoba na kukua kitalii.moshi hamna uzalendo wa kutangaza mji wenu na KLM mpaka wanasema mlima uko Kenya mnatuabisha sana
Watu wa Kilimanjaro ni Wabairi sana, MTU anashindwa kununua Simu ya kichina hata ya kueleweka kupiga picha matukio na ndio Maana wakenya wanajitangaza mlima Kilimanjaro wao na wenyewe wamekaa kama mazombi yasiyojielewa. Dunia nzima iliona wakati Uganda ilivyosema kagera ya kwao, lakini wachaga hamna kitu, business nyingi zilianza kuwashinda na kukimbilia serikalini hili kupiga dili, sasa ivi kariakoo mmeshindwa biashara sijui mtakimbilia wapi? Nauli ya dar es salaam kwenda Kilimanjaro ni 25,000 lakini MTU kusafiri ni Mara moja Kwa mwaka na bado MTU akienda anataka arudi kabeba vyàkula kufidia nauli yake
 
Mtu anasema wahaya hawajengi kwao!! Inachekesha sana. Na hayo ma bangaloo/ palaces huko vijijini yanajengwa na wachaga??

Ukitaka ujue wahaya wamesambaa na kujenga katika miji mingine usipate tabu sana. Nenda Mwabza ukae siku 3 tu na usifanye uvhunguzi wowote we fanya ishu zako zilizokupeleka, utajua tu kwamba almost 40% ya investments za Mwanza ni mhaya mtupu kabla huja consider makabila mengine na wasukuma wenyewe wakiwemo wenye Mwanza yao! Hii haiitaji kubishiwa ni jambo la kufika Mwanza ba kujionea.

Miji ya Uganda kama Mbalala, Kyotera, Masaka na Kampala ukienda kutoka Tz unakuta watz % kubwa wenye investments huko ni kutoka Kagera!

Moshi acheni kudanganywa na takwimu nyuma ya kioo, vitu vingine vinahitaji ufike kwenye field! Ila kwa ubishi wenu najua mtabisha tena kwa maneno ya shombo (mmeanza kuwa wazaramo) bila hata evidence. Karibuni kwa povu tu maana najua evidence hamna
 
Wakati upande mmoja ukionesha usomi wa kupangua hoja na kuweka evidence za picha, naona upande wa pili akina mangi wanabwabwaja tu kutafuta sapoti kwa wasioijua hii miji miwili.

Mi sioni haja ya kuonesha umahili wa kutumia lugha katika kusifia au kuponda wakati watu wanataka wapambanishe tangibles na sio maneno.

Tukitazama points na evidence Moshi mshapigwa siku nyingi sana. Mmebaki na 'huwezi faanisha Moshi na uchafu (kwa lafudhi ya kichaga)" "usifananishe Moshi na ujinga (kwa lafudhi ya kichaga)

Kwa taarifa yenu tu niwasaidie, Moshi ni kamji ambako kanapendeza sana sehem ndogo sana ya mji hapo katikati, ila ukipiga hatua kidogo hamna kitu na ndio maana hata nyinyi wenyewe wachaga mnakosa picha nyingi za kutuma. Ukitaka kutuma picha flani unakuta mwenzio ashaituma!

Tukiacha manene Bukoba ni pana na imejengeka sehem nyingi na inazidi kupanuka.

Hapo nazungumzia mjini tu. Nikizungumzia vijiji vya wahaya vs vya wachaga vimeelekeana ila vya wahaya vipo juu zaidi. Kuna vijiji ukifika unadhani ni town! Huduma zote zipo kijijini hadi Posta na line za simu za TTCL!

Ni vizuri kufika sehemu kuliko kutumia experience ya mwenzio. Ba ukifika sehem jitahidi kuzunguka kuona maeneo, usi jaji sehem yote basing on hapo ulipofikia.
Hebu niwape vyombo dini bukoba ni kitu muhimu sana kanisa katoliki na upadre tz ulichipukia huko mapadre wa kwanza tz.askofu wa kwanza tz na kardinali wa kwanza mweusi anatokea huko na amezikwa kwenye kanisa zuri sana kuliko yote na refu Africa mashariki nzima na Africa likishika nafasi za juu ni kanisa la kikardinali
be7070cab923b7b4895354673af4920c.jpg
c190752b6def80da8e4c1b353ef86433.jpg
a338a459556492f01434985343f278d1.jpg
mwenyewe ndo huyo .na kanisa ni hili lipo miembeni bukoba
f30d0bbb8455f2f984ce169da0ea6b2f.jpg
be956abe88a409e57d60714a38b4cc98.jpg
16bda00fbd6973dd351c8a74e3389582.jpg
07e606d73c5a41082f83da1e179b957c.jpg
bb23a95cf9b1aa53bde34cf50be3cb45.jpg
c0dbaaa8cc8a16a9f5dac8f7178652fb.jpg
a6b7a3e32e1b3da60173d498889c9a86.jpg
cd830604a0f270902401d65308b32dce.jpg
2cee260e9bf2e54709d6295eceec3d27.jpg
cf4a718968219e94dc8cb63ecbd627b7.jpg
09ccd162a4fff6e28c2030ab2ab25c87.jpg
e03a240130c2c433dc9bdfc509ee077f.jpg
0bc1810a13809879ca3498417cf61988.jpg
 
Wahaya .. Mnatatizo lasifa, na ndio maana hamna maendeleo.. Mmebaki kuoiga picha majengo waketi wenzenu wakilimanjaro mji ulisha jengengeka miaka mingi kwa sasa wachaga wana pambana kukuza vijiji nyiyi mnahangaika na vijengo vya mjini vipya ndio vina gorofa tatu.. Wakati kilimanjaro kwanzia miaka ya 1980 walishakuwa na majengo ya gorofa 12. Tena mengi..

Sasa hivi tunajipima kwa maendeleo ya data, uchumi wa mkoa, mahitaji ya jamii, pato la mtu mmoja mmoja.. Miundo mbinu yenye hadhi ya kisasa. Maisha bora ya kipato cha kati..

Tafuta data zakitaifa kujua mkoa wako uko level gani kwa kufanya rejea ya hayo niloyoandika hapo .. Achana na vijengo vya kijinga wakati miundombinu ya barabara, maji, pato la jamii yako, vyoo tu tatizo mkoa aslimia 79 hawana vyoo bora, huu tu ni ishara tosha kuwa bado hamja staarabika .. Kilimanjaro asilimia 13 tu ndio haina choo bora ..miundo mbinu ya bara bara, maji na elimu tuko 97 % tunaongoza kitaifa uko bukoba kwenun mko 37% .. Tafuta data kaka wewe jipambanishe na lindi ndio figa zenu zina kimbuliana
Pole sana mkuu. Naona sasa kwa upande wa uzuri wa mji mmeshakubali kukaa! Haya twende kwenye takwimu unazozitaka wewe. Moshi nyang'anyang'a
 
Mambo ya kidini bukoba ntungamo major seminary inakuhusu
5451c17efd3a8f9ee2b7a5ffb1b256a0.jpg
37fcf3c193777be4dd284373ab4d8356.jpg
 
3ba908a4fd5b0b1e9ef122e2ab27d66a.jpg
6183edef531100ca0c82f809cb163c5e.jpg
c80bd1d11afb8025525c05788718feb1.jpg
de12a136d521b920e2770a031ecd0520.jpg


Ongelea figure kama hizi achana na ujinga wa kelele za vijengo vya ghorofa 3. ..fact never lay..
Kifo cha mendeeeeee!!! Yaani tuanze kusoma namba wakati picha zipo??? In some aspects hapo kwenye hizi takwimu zako Kilimanjaro imeaiacha mbali Dar. Sasa sijui mnataka kutwambia Moshi pia imeizidi Dar kwa maendeleo! Hamshindwi kusema mnaizidi Dar maana wachaga siku hizi mmekuwa na sifa hata wahaya hawaoni ndani!

Kweli ukizidiwa unatafuta pa kufia. Mtaleta hata takwimu za usafi sasa

Wachaga bwana. Tatizo hamuijui Bukoba. Tafuteni ligi na angalau na Morogoro au hata Kigoma. Maana ndio kidogo mnaelelekeana.

Nami nawaambia stend ya Bukoba ikikamilika msiizoee kabisa Bukoba. Tutawashindanisha na Kigoma
 
Wahaya .. Mnatatizo lasifa, na ndio maana hamna maendeleo.. Mmebaki kuoiga picha majengo waketi wenzenu wakilimanjaro mji ulisha jengengeka miaka mingi kwa sasa wachaga wana pambana kukuza vijiji nyiyi mnahangaika na vijengo vya mjini vipya ndio vina gorofa tatu.. Wakati kilimanjaro kwanzia miaka ya 1980 walishakuwa na majengo ya gorofa 12. Tena mengi..

Sasa hivi tunajipima kwa maendeleo ya data, uchumi wa mkoa, mahitaji ya jamii, pato la mtu mmoja mmoja.. Miundo mbinu yenye hadhi ya kisasa. Maisha bora ya kipato cha kati..

Tafuta data zakitaifa kujua mkoa wako uko level gani kwa kufanya rejea ya hayo niloyoandika hapo .. Achana na vijengo vya kijinga wakati miundombinu ya barabara, maji, pato la jamii yako, vyoo tu tatizo mkoa aslimia 79 hawana vyoo bora, huu tu ni ishara tosha kuwa bado hamja staarabika .. Kilimanjaro asilimia 13 tu ndio haina choo bora ..miundo mbinu ya bara bara, maji na elimu tuko 97 % tunaongoza kitaifa uko bukoba kwenun mko 37% .. Tafuta data kaka wewe jipambanishe na lindi ndio figa zenu zina kimbuliana
Mkuu naomba unitajie jengo la ghorofa 12 linalopatikana moshi?
 
Huoni picha maana wachaga hawana muda wakupoteza kuzungunga mji kupiga picha kuja kukuridhisha wewe hapa.. Yaan unamjua mchaga unamsikia ?? Aache kutafutabpesa apoteze dakika na muda kuzungukia mjini na maeneo yote kupiga picha ambazo hazimuongezei hela lkwenye maisha yake ..eti ili aje kujikweza hapa mtandaoni. Hahaha ata hizo ulizo ona hapo juu walio post nizile amabzo wanazo kwenye simu siku nyingi walzo rushiwa na ndugu zao wakati ilo njengo la NSSF lilpozinduliwa wengibwao wakio mikoani kutafuta maisha tu ndio maana una ona wengi hawana picha zakupiga sana sana utaona amegoogle tu akapiga ile ya satilite .. No time to waste for no gain.. Nyie tu wahaya wapenda sifa ndio mna muda wakutafuta sifa kwa gharama yoyote.. Keep it up..
Kushindwa hakuna excuse mkuu. Excuse ni kuhalalisha kushindwa katika hali ambayo ni kutafuta huruma ya watu.

Poleni sana wachaga. Ndo mkome kujilinganisha na Bukoba. Kisa kile kibarabara kimoja chenye 2 in 1 na kajengo ka NSSF. Shame!

Karibuni twende beach kali za Bukoba, maji malaini hayana chumvi, mchanga mweupeee, upepo kama peponi. Hivi vitu hautavipata Moshi hata iweje. Endeleeni kuwa na hicho kichuguu chenu cha Kilimanjaro ambacho wazungu wanakipanda kila siku na nyie wachaga mnakiangalia tu ni almost 10% ya wachaga ambao mmeshakipanda wengine mnaishia kujisifia mna mlima Kilimanjaro.

Sisi Bukoba raia wote wanafika beach za ziwa kubwa kuliko yote Afrika na kula maisha na familia zao. Life is exciting in Bukoba. Karibuni
 
Kukaa hapa kushindanisha moshi na bukoba ni dharau kubwa sana kwa Moshi.

Bukoba haina hadhi hata ya Rombo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom